Huenda akapata timu hapa hapa Tz ila sio Mnyama.GENTAMYCINE, cocastic , NAWATAFUNA , Proved , na mashabiki wote wa Mnyama!
Mumshawishi basi Kocha Pablo amchukue huyu kiungo fundi na mbunifu uwanjani, ili kuimarisha kikosi chenu msimu ujao.
Huyo katemwa kwa kashfa za ulevi
Sio mistake ni maamuzi sahihi sana kiufundiKama ni kweli yanga tutakua tumefanya mistake
Sawa ManaraSio mistake ni maamuzi sahihi sana kiufundi
Kapewa mkataba wa mwaka mmoja kagoma kusaini anataka miaka miwili kwa umri wake kumpa miaka miwili ni kamari aende tu Yacouba anarudi Yanga hii hakuna presha mechi ngapi tumecheza bila yeye? bila fey? bila mwamnyeto? Tuko vzr kila la kheri kwakeKama ni kweli yanga tutakua tumefanya mistake
Aisee mambo ni mengi muda mchache.Taarifa rasmi ni kwamba Saido aligoma kulala kwa Mganga wa kienyeji kijiji cha Idukilo kilichopo Mkoani Shinyanga pembezoni mwa Mgodi wa Williason Mwadui
Sasa mtu ana miaka 35 halafu anataka pesa zaidi ya hiyo?..bora aende zake tu.kaenda DTB kwa donge nono.. uto walitaka kumsajili kwa TSHs million 25 ndo kagoma.