Yanga yamalizana na Saidoo Ntibazonkiza.

Taarifa rasmi ni kwamba Saido aligoma kulala kwa Mganga wa kienyeji kijiji cha Idukilo kilichopo Mkoani Shinyanga pembezoni mwa Mgodi wa Williason Mwadui
Wewe subiri jumamosi tupige pale kwenye matumaini

Si tulikubaliana yanga ni baiskeli ya miti?
 
Kapewa mkataba wa mwaka mmoja kagoma kusaini anataka miaka miwili kwa umri wake kumpa miaka miwili ni kamari aende tu Yacouba anarudi Yanga hii hakuna presha mechi ngapi tumecheza bila yeye? bila fey? bila mwamnyeto? Tuko vzr kila la kheri kwake
Kwanza Huyo Yacouba Ndo Wa Kusepa Kabisa Hana Mpira Kutisha Hata.
 
Taarifa rasmi ni kwamba Saido aligoma kulala kwa Mganga wa kienyeji kijiji cha Idukilo kilichopo Mkoani Shinyanga pembezoni mwa Mgodi wa Williason Mwadui
Wewe Usijifanye Mpaana Kuongelea Mambo Ya Yanga Subiri Jumamosi Tuwakande Si Mlisema Yanga Round Ya Pili Tunakata Pumzi.
 
Uto wamepoteza mechi mbili ya namungo ile ya kwanza na ruvu kule kigoma kuchekelea kwamba hawajafungwa kwa msaada wa refa ni upimbi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…