Yanga yamchakaza Jamhuri Kiwelu aka Julio

Kwa hiyo ulitaka tutoke sare ndo ligi ingekuwa juu
 
Tff wachunguze.

Kilichotokea Leo kwenye mechi Kati ya Yanga Na Coastal Ni kielelezo tosha Soka letu litachukua miaka mingi Sana kufikia level za kimataifa!
Tanzania kushiriki AFCON Na WORLD Cup tutasikia kwenye radio Kama hayo ndo yanafanyika ktk mechi zetu

Sasa wewe kashaga, hiyo level ya kimataifa unayoitaka wewe ni ipi? Kwani Platinum fc ni ya kwa mtogole? Hawakipigwa 5 hao? Unadhani uwezo wa Platinum ni wa chini kuliko Coastal?

Na wewe mtumba kama TFF watachunguza, waanze na mechi ya Platinum fc hapa Dar.
 
Last edited by a moderator:
Mbona Madrid kamtuliza mtu 9.
Kwani nani alikuambia kuna tofauti ya yanga na real? kama wabrazil waliosajiliwa madrid na yanga yupo, kama ni kocha na yanga wanae anayetoka nchi hiyohiyo, kama ni soka la akili , kasi , na ufundi mkubwa yanga lipo, kama ni mashabiki wastaarabu wasiopenda fujo na yanga wapo.
 
Mikia poleni sana, kwa taarifa tu 1998 kuna timu pia ilichezea 8 kutoka kwa Yanga, huku mchezaji bora kabisa kupata kutokea Tanzania Edibily Jonas Lunyamila akiziona nyavu mara 6.

ile timu ilikuwa inatokea afrika kusini
 
Coastal Union wasikate tamaa, haya ni matokeo ya kawaida tu, wanaweza kuiga kitu Fulani kutoka majuu, fuatilia hizi:

Sunderland to refund fans after 8-0 defeat - SuperSport - Football

Sunderland kufidia mashabiki baada ya kichapo cha 8-0 - SuperSport - Football

Anger, shock as Germany thump Falcons 8-0 - SuperSport - Football

Hungary demolish San Marino 8-0 - SuperSport - Football
 
Kilichotokea Leo kwenye mechi Kati ya Yanga Na Coastal Ni kielelezo tosha Soka letu litachukua miaka mingi Sana kufikia level za kimataifa!
Tanzania kushiriki AFCON Na WORLD Cup tutasikia kwenye radio Kama hayo ndo yanafanyika ktk mechi zetu

Tawi la simba ,hatutashangaa simba kufungwa na azam ,,,,,,bure tuuuuu,mlipofunga prison 5 nani alisema,,,,grow upp men
 
hivi simba na coastal union matokeo yalikuwaje?au hawajacheza
 
hivi simba na coastal union matokeo yalikuwaje?au hawajacheza
Mzunguko wa kwanza pale taifa;
Simba 2-2 Coast union.

Mzunguko wa pili kule Mkwakwani;
Coast union 0-0 simba.
 
Yanga yamchakaza Jamhuri Kiwelu aka Julio
Yanga imeichakaza Coastal Union au Julio? Kama lengo lilikuwa kumtaja Julio, walau ningetegemea useme 'Pluijm amchakaza Julio'. Najua concern ya washabiki wa Yanga. Wameona si rahisi kulipa vipigo wanavyopata kutoka kwa Simba kama vile bao 5-0 za juzi juzi au 6-0 za wakati ule, na sana sana wanaendelea kupigwa 1-0, 2-0, 3-1 na matokeo kama hayo. Sasa njia pekee ni kutumia kipigo cha Coastal Union cha 8-0 kama njia ya kujifariji kuwa wameifunga Simba, ndio maana unaona wanamtajataja Julio eti kwa kuwa ana uhusiano na Simba!!! Yanga bwana, Etoile hiyo inakuja!
 
hivi simba na coastal union matokeo yalikuwaje?au hawajacheza

Match 1: 21/09/2014 Simba 2-2 Coastal Union.

Wafungaji Simba, Shaaban Kisiga 4' na Amis Tambwe 36'

Wafungaji Coastal Union, Yayo Lutimba 69' na Rama Salim 84'.

Match 2: 07/02/2015 Coastal Union 0-0 Simba.

Need I say more?
 
Mzunguko wa kwanza pale taifa;
Simba 2-2 Coast union.

Mzunguko wa pili kule Mkwakwani;
Coast union 0-0 simba.

sasa mshana jr anaponda nini ushindi wa yanga kama wao walishindwa kumfunga huyo anayemwita mfu
 
Match 1: 21/09/2014 Simba 2-2 Coastal Union.

Wafungaji Simba, Shaaban Kisiga 4' na Amis Tambwe 36'

Wafungaji Coastal Union, Yayo Lutimba 69' na Rama Salim 84'.

Match 2: 07/02/2015 Coastal Union 0-0 Simba.

Need I say more?

Unajua nashanga mshana jr anavyoponda ushindi wa yanga ilihali wao walishindwa kumfunga huyo anayemwita mfu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…