Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Hivi kuua chawa kwa rungu nayo sifa??? Mpwa Pdidy mwindaji hasifiwi kuua mzoga kwakuwa ushakufa
Ukirudi nyumbani na mzoga wa ngiripori ambao hauvuji hata damu familia na majirani watacheka kimyakimya
Mkuu performance ya Coastal Union hii hapa, wenye macho wataona ubora na ubovu wao:
Coastal Union - Premier League - Tanzania | Futaa.com
http://www.futaa.com/football/article/on-form-yanga-humiliate-ramaas-coastal-union