Nina wasiwasi hata yule mwingine graffani nae atakuwa ana red card, mwaka mbaya sana huu kwa mikia, mpaka ligi inaisha mikia watakuwa wamekula ban za kutosha.
Julio kasema angekutana na simba angepigwa 10-0,gazeti moja la nchini limeripoti hii habari,mimi namshangaa huyu jamaa yaani anajionyesha mnyonge au mpenzi wa simba wazi wazi jee mbona wakati mwadui ilipocheza na simba matokeo yalikua 3-1 au nakosea.Mimi namuabia huyu Julio Yanga ni timu bora kweye 16 Africa ,angesema afadhali zilikua goli 8 siku ya tarehe 8 angecheza siku tarehe 18 zingekua goli 18 .......Yanga oyeeeee tuko kweye 16 bora za afrika na tunaenda Tunisia kumpiga mtu goli moja tuu.Kwa kipigo cha 8-0 walichopokea Coastal Union toka kwa Yanga,Julio hatawasahau Yanga. Ni kipigo chake pekee cha paka mwizi akiwa mchezaji na hata kocha. Ni kama Mourinho alivyopigwa 5 na Barcelona mara tu alipotua Real Madrid kama Kocha.
Yanga kama Ulaya vile
Kikosi chenu ni ghali kweeeeeli ila unakumbuka lile goli la mita 40??
AIBU kwenu!
Etoile du sahel... Kampiga Mtu bee kwa nunge... Mwajuma ndala ndefu jiandae
Ni aibu kwa Simba kusajili mapro 5 kutoka nchi moja ya Uganda, matokeo yake timu inasota nafasi ya 3 ikiwa haina hata matumaini ya kupata nafasi ya 2 kwa mwaka wa 3 mfululizo. Hilo goli la mbali ni ajali kama vile mtu kupiga mpira na kugonga mwamba.
Mkuu Makoye Matale unanisononesha kwa hili, kwa post yako hii inaonekana kama una mwanao na ni jambazi ikitokea amekamatwa unaweza kutoa hata rushwa ili aachiwe na aje aanze kusumbua watu. Ukifuatilia ule mtifuano Yahoo ndiye alianza kumtukana Ngarna na alichokifanya Ngarna ni kuretaliate kwa Yahoo. Kwa hiyo kama unamwombea Yahoo afunguliwe basi inabidi uwaombee wote wafunguliwe ili kutenda haki.
Sure Yanga nomaKwa kipigo cha 8-0 walichopokea Coastal Union toka kwa Yanga,Julio hatawasahau Yanga. Ni kipigo chake pekee cha paka mwizi akiwa mchezaji na hata kocha. Ni kama Mourinho alivyopigwa 5 na Barcelona mara tu alipotua Real Madrid kama Kocha.
Yanga kama Ulaya vile
Mkuu yahoo amepewa ban ya siku 3, na mkuu Ngarna amepewa ban mpaka timu yoyote ya ligi kuu itakapovunja record ya yanga ya kumdungunyua mtu goli 8-0.Wamefungiwa kwa muda gani!??
Hivi kuna timu ilishapigwa 8 - 0 toka ligi ianze au leo historia tena?
Sure Yanga noma
Hiyo dawa tangu ianze kutajwa kwamba ipo jikoni miaka minne iliyopita, nadhani sasa itaungulia nakukaukia jikoni!Tumeanza na Julio, mdomo tumeuziba kwa pamba utafikiri amekufa, dawa yenu iko jikoni inatokota.
Hiyo dawa tangu ianze kutajwa kwamba ipo jikoni miaka minne iliyopita, nadhani sasa itaungulia nakukaukia jikoni!
Duh EPL tena
Kidole kimeteleza tu ni VPL.