demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Nina wasiwasi hata yule mwingine graffani nae atakuwa ana red card, mwaka mbaya sana huu kwa mikia, mpaka ligi inaisha mikia watakuwa wamekula ban za kutosha.
Ni mbaya sana unapokuwa na stress alafu unajikuta upo katika ya mjadala wa nguvu ukiwa Umebanwa Mbavu tatu za chini....!
Unajikuta unaropoka matapishi...!
Simba itaua vijana wetu...!