Yanga yamchakaza Jamhuri Kiwelu aka Julio

Achana na mikia Mkuu watakulengesha kwenye ban kama Ngarna (R.I.P.) alivyomlengesha Mkuu yahoo (R.I.P.).
Kwani hawa jamaa hawajarudi kifungon!!
Duuuuh! pole yake sana mkuu yahoo manake anashangilia ushindi babu kubwa wa goli 8-0 huku akiwa kifungoni!!!!
Tumuombee huyu jamaa arudi kundini.....
 
Last edited by a moderator:

Huo ushindi uko dedicated kwa Mkuu yahoo, shabiki shupavu wa Yanga aliyekubali afadhali apigwe ban kuliko kuliacha li mkia limoja lenye maneno machafu liendelee kuitukana Yanga na mashabiki wake. R.I.P. Mkuu yahoo huko ulipo unakumbukwa na mkolaj, Bantu lady , Makoye Matale, mito pamoja na wakuu wengine wote walioipenda Yanga tangu kale.

Ashes to ashes and dust to dust, Mkuu yahoo upumzike kwa amani, utafufuka tu katika muda ulioamuliwa.
 
Basi afufuliwe haraka kama ilivyokawa kwa bwana yesu kristo....
Yahoo tunakupenda sana wanayanga wenzako.....
 
Kwa kweli tumepata pengo kubwa kwa kumkosa yahoo, Inaonekana Ngarna alishawachosha hata mikia wenzake maana sijaona hata mkia mmoja ukiomboleza kwa ajili yake. Huko uliko Ngarna uendelee kutendewa haki kulingana na maneno yako maana imeandikwa 'kwa maneno yako utahesabiwa haki na kwa maneno yako utahukumiwa', Amina
 
Last edited by a moderator:
Yanga ifungeni Simba basi walau kagoli kamoja watu waache kuzimia! Salamu ziende kwa akina mkolaj, Bantu lady , Makoye Matale, mito na wengineo wanaojisikia kuzimia zimia

Mkuu umeibukia hapa unataka uondoke na mtu kwa kupigwa ban, hapa hupati mtu!

Tumeanza na Julio, mdomo tumeuziba kwa pamba utafikiri amekufa, dawa yenu iko jikoni inatokota.
 
Tena hawa tutawavunjia record kama ilivyo kwa coastal union, tutawapiga 9-0
 
Kwa kweli tumepata pengo kubwa kwa kumkosa yahoo, Inaonekana Ngarna alishawachosha hata mikia wenzake maana sijaona hata mkia mmoja ukiomboleza kwa ajili yake. Huko uliko Ngarna uendelee kutendewa haki kulingana na maneno yako maana imeandikwa 'kwa maneno yako utahesabiwa haki na kwa maneno yako utahukumiwa', Amina
Nina wasiwasi hata yule mwingine graffani nae atakuwa ana red card, mwaka mbaya sana huu kwa mikia, mpaka ligi inaisha mikia watakuwa wamekula ban za kutosha.
 
Last edited by a moderator:
Nina wasiwasi hata yule mwingine graffani nae atakuwa ana red card, mwaka mbaya sana huu kwa mikia, mpaka ligi inaisha mikia watakuwa wamekula ban za kutosha.

grafani11 yuko hai, tangu aonywe amebadilika sana. Kwa tukio la Ngarna na yahoo atakuwa amejifunza zaidi.
 
Last edited by a moderator:
huyu jamaa Julio alishawahi kuropoka kwamba hatakaa akanyage uwanja wa taifa sa sijui kitu gan kilimpeleka jana, ndo maana kala kichapo cha maana
 
Yanga imeichakaza Coastal Union au Julio? Kama lengo lilikuwa kumtaja Julio, walau ningetegemea useme 'Pluijm amchakaza Julio'. Najua concern ya washabiki wa Yanga. Wameona si rahisi kulipa vipigo wanavyopata kutoka kwa Simba kama vile bao 5-0 za juzi juzi au 6-0 za wakati ule, na sana sana wanaendelea kupigwa 1-0, 2-0, 3-1 na matokeo kama hayo. Sasa njia pekee ni kutumia kipigo cha Coastal Union cha 8-0 kama njia ya kujifariji kuwa wameifunga Simba, ndio maana unaona wanamtajataja Julio eti kwa kuwa ana uhusiano na Simba!!! Yanga bwana, Etoile hiyo inakuja!

Hiyo ndio sababu kubwa kutoa kichapo kikali akome maneno machafu
 
Kwa kweli tumepata pengo kubwa kwa kumkosa yahoo, Inaonekana Ngarna alishawachosha hata mikia wenzake maana sijaona hata mkia mmoja ukiomboleza kwa ajili yake. Huko uliko Ngarna uendelee kutendewa haki kulingana na maneno yako maana imeandikwa 'kwa maneno yako utahesabiwa haki na kwa maneno yako utahukumiwa', Amina

Mkuu Makoye Matale unanisononesha kwa hili, kwa post yako hii inaonekana kama una mwanao na ni jambazi ikitokea amekamatwa unaweza kutoa hata rushwa ili aachiwe na aje aanze kusumbua watu. Ukifuatilia ule mtifuano Yahoo ndiye alianza kumtukana Ngarna na alichokifanya Ngarna ni kuretaliate kwa Yahoo. Kwa hiyo kama unamwombea Yahoo afunguliwe basi inabidi uwaombee wote wafunguliwe ili kutenda haki.
 
Last edited by a moderator:
Tena hawa tutawavunjia record kama ilivyo kwa coastal union, tutawapiga 9-0

Washabiki wa ndala wanachekesha sana, mnamfunga coastal union na kumbukumbu zenu zoooote zinapotea mnaanza ota, hivi tano mmezisahau? na juzi mmefungwa na yosso wa simba mmesahau?
muda ambao mngeweza mpiga simba goli nyingi ni pale mlipofunga nne kisha zikarudi zoote, yanga ilikuwa juu haijawahi tokea na simba ilikuwa chini almost haijawahi tokea, mlishindwa! hiyo dawa unayowaza ni simba wanawaandalia nyie kama unabisha kamuulize yule promota wa ndondi Ustaadh, shabiki wa kutupwa wa yanga ila kasema KAMWE hawezi bet ETI yanga kuifunga simba, ni kupoteza hela yake!
Hongereni kwa ushindi wa jana! Kama ni bifu na timu yoyote ya red and white, msibilini ETOILE SPORT DU SALEH!
Tutaheshimiana tu tena kwa lazima!
 
Kwani julio ni kocha basi?au anasafiriaga nyota za watu.Aliwahi kusafiria nyota ya marehemu mziray,kibadeni na mkwasa akajiona kocha.Huyu ni msimamizi wa mazoezi sio kocha.

Nina hakika hujui unatumia vigezo gani kusema kwamba Julio si kocha. unaweza kutuambia vigezo ulivyotumia???
 
Yanga ifungeni Simba basi walau kagoli kamoja watu waache kuzimia! Salamu ziende kwa akina mkolaj, Bantu lady , Makoye Matale, mito na wengineo wanaojisikia kuzimia zimia

Nadhani sasa hivi watakuwa wanalipa tano kwa timu yoyote ya red and white ila si muhusika mkuu! wajiandae kuichukia zaidi, Etoile hiyooooo na rangi zake red N white hivyo kama ni rangi basi bakora zitaendelea! Anafungwa coastal na Julio, watu wanadhani kafungwa simba? juzi juzi tu wamehaibishwa na goli la mita 40, ila kumbukumbu fupi!
 
Washabiki wa ndala wanachekesha sana, mnamfunga coastal union na kumbukumbu zenu zoooote zinapotea mnaanza ota, hivi tano mmezisahau? na juzi mmefungwa na yosso wa simba mmesahau?
muda ambao mngeweza mpiga simba goli nyingi ni pale mlipofunga nne kisha zikarudi zoote, yanga ilikuwa juu haijawahi tokea na simba ilikuwa chini almost haijawahi tokea, mlishindwa! hiyo dawa unayowaza ni simba wanawaandalia nyie kama unabisha kamuulize yule promota wa ndondi Ustaadh, shabiki wa kutupwa wa yanga ila kasema KAMWE hawezi bet ETI yanga kuifunga simba, ni kupoteza hela yake!
Hongereni kwa ushindi wa jana! Kama ni bifu na timu yoyote ya red and white, msibilini ETOILE SPORT DU SALEH!
Tutaheshimiana tu tena kwa lazima!

Acha kelele.. Nyie ni WAMCHANGANI FC tu...........!
 
Nina hakika hujui unatumia vigezo gani kusema kwamba Julio si kocha. unaweza kutuambia vigezo ulivyotumia???

Hauitaji kusomea certificate ili kutambua wasifu wa Kocha...!

Kwa jinsi anavyo jiaachia...
Ebu fikiria, baada ya kujenga timu psychologically kwa kuwa kuna mechi kubwa inayofuata ...
Yeye anaonesha kukata tamaa,na kutoa lawama TFF kwa ratiba kubadilishwa. Unadhani wachezaji wakimuona kocha katika hali ya kukata tamaa.... wao watakuaje...?
 
Kikosi chenu ni ghali kweeeeeli ila unakumbuka lile goli la mita 40??
AIBU kwenu!

Ni aibu kwa Simba kusajili mapro 5 kutoka nchi moja ya Uganda, matokeo yake timu inasota nafasi ya 3 ikiwa haina hata matumaini ya kupata nafasi ya 2 kwa mwaka wa 3 mfululizo. Hilo goli la mbali ni ajali kama vile mtu kupiga mpira na kugonga mwamba.
 
Etoile du sahel... Kampiga Mtu bee kwa nunge... Mwajuma ndala ndefu jiandae
 
Back
Top Bottom