Yanga yamfukuzia kisirisri Davip Etop Udoh

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Simba wakimwacha huyu jamaa sidhani kama Yanga watafanya kosa.

Ni Kawaida yao Utopolo Wazee wa kuvizia kama fisi..
 
Uto wavurugaji tu wala awamuhutaji kiivyo,ni ujinga wao ndo unawapeleka puta.
 
Na inakuwaje Simba wanaruhusu Uto wakutane naye na kuzungumza? Kwanini wasikabe chances zote za Uto kumfikia? Labda kama wameongea nae kwa simu au njia nyingine isizo za ana kwa ana.Vinginevyo,huu nao ni uzembe mwingine wa viongozi wa Simba.
 
Ndio mdau jana hapo wakati wanarudi kutoka zenji

Ila nasikia wamemsajili phiri....jamaa nae kilaza tu zanaco wapo makundi we unakuja kwa wasiokuwepo michuano yoyote ya afrika
hapana phiri keshasaini mkataba wa awali simba..team yake inamuchaia mwezi wa sita mkataba ukiisha...jamaa hawa wana propaganda za kishamba sana za lemavu la akili na ngozi
 
Udoh hawezi kwenda uto, kwani huyo udoh unafikiri ni mjinga kiasi hicho
Unavyotaka kila mchezaji aende Simba km unalipa ww mishahara??

Sasa hata akija Yanga anacheza nafasi ya nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…