Yanga yamfukuzia kisirisri Davip Etop Udoh

Yanga yamfukuzia kisirisri Davip Etop Udoh

Kwa hali hii watweza kweli kumsajili?


View attachment 2077821
Mo boda boda
maxresdefault.jpg
 
Unavyotaka kila mchezaji aende Simba km unalipa ww mishahara??

Sasa hata akija Yanga anacheza nafasi ya nani?
Wanao mfukuzia kisirisiri ndo wanajua atacheza nafasi ya nani
 
Back
Top Bottom