Yanga yamsaini striker hatari wa Zanaco, Mosses Phiri

Utopox tayri mmeshakimbia uzi mmesahau huko juu mlikuwa mnabwabwaja
 
Nimecheka kinoma. Kama iko ivyo ila utani mbaya huu[emoji3]
 
Tanzania hii, hawa wachezaji kabla hawajasajiliwa wanavyopewa promo utafikiri wanaenda kuchukua World Cup lakini wakishakuja tu unakuta hawana tofauti na wachezaji wengi tulionao hapa nyumbani.

Watanzania ni watu wa mikwara sana tabia ambayo nafikiri imeletwa na ccm kwa kupenda kusujudia urais wa mtu, oh mara kajenga flaiova wakati kumbe Tanzania ndio nchi za mwisho mwisho kujenga kwani nchi zingine zilishajenga kitambo lakini bila kupiga yowe.
 
Ni aibu Denis nkane mbappe kufanana jina na kibu.
Kibu alitakiwa apewe jina jingine hata Bob Marley litamfaa..
 
Kaseke àachwe. David Bryson cross zake za kizamani na Ni predictable
 
Watafute beki mbadala wa MWAMNYETO pale nyuma, huku mbele nafasi ya MOLOKO, na NTIBAZONKIZA zitafutiwe washindani halisi. Sina shia na katikati. Mbele pale tunahitaji mijitu inapiga MIWA hata akiwa karibu na kati.
Binafsi naona Denis Nkane anatosha kumpa changamoto Moloko! Muda utaongea!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Matusi ya nini sasa au ndio tabia za Tandale na Kkooo
 
Nimecheka kinoma. Kama iko ivyo ila utani mbaya huu[emoji3]View attachment 2069770
Mnapoteza muda bure.Ukiwa na hela Raha sana unanunua yoyote wakati wowote.Kaa ukijua iwe Phiri au siye Kuna chuma kinashuka. Kwa kukurupuka kwako ulisajiri Banda na Chikwende kwa Tambo nyingi mno kisa wamekupiga chenga kilichofuata ni majutoooo. Leo kwa uoga wako umeokota okota wachezaji huko unawaleta kwenye majaribio huna misingi mizuri ya kusajiri wachezaji hata Morrison ulimuokota Yanga leo hii Taarifa zilizopo za ndani ndani anawatesa kwa ujeuri.
 
Huyo kichaa anawatesa kweli manina.
 
Msijitoe ufahamu Maqeen wenu washakula 3 kwa O yai huko kwa Mkapa.
Wako wapi hao GSM wenu?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…