Yanga yamsajili Haruna Moshi " Boban".

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Habari ya uhakika ni kuwa katika Hali isiyokuwa ya kawaida klabu ya Yanga imemsajili mhenga kiungo mchezeshaji wa African Lyon Haruna Moshi Boban kwa mkataba wa miezi 6 katika dirisha dogo.
Ikumbukwe klabu ya Yanga imekumbwa na ukata usiopimika kwa Sasa ikijikongoja kupata wachezaji wa mafungu.
 
Nasikia pia usajili unaofuata jangwani ni Nurdin Bakari. Mwaka huu simba tutakoma.
 
Kama Kweli basi atafanya Kama Yule mkenya aliye kuwa mfumania nyavu maarufu
 
Nawashauri wamchukue Mwinyi Kazimoto pia yuko vzr
 
Ina bet kama kwa ngassa wanahisi wanaweza pata makinikia
 
Nyosooooooo [emoji847][emoji847][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji846][emoji846][emoji846][emoji846]
 
Daaa kufulia kubayaa, kweli unamuacha emanuel martin alafu unamsajili haruna moshi????? Hapana viongozi na benchi zima la ufundi wana kesi ya kujibu
 
Wasisahau pia kuwasajiri akina Chibe Chibindu,Fikiri Magoso,Akida Makunda,na Monja Liseki.Hawa jamaa ni πŸ”₯ wa kuotea mbali kwa sasa,na watasaidia kupeleka ubingwa kwenye chimbo kuu la vyura.

Yanga Veterani Oyeeeeee!!πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…