Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
😂😂😂 halafu unasema we sio shabiki wa Mikia. Maana hii comment ya kishabiki kabisa.Nikujua unasema kimechukua ubingwa, kuongeza ligi hata Mbao Fc wakiongoza mwanzoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 halafu unasema we sio shabiki wa Mikia. Maana hii comment ya kishabiki kabisa.Nikujua unasema kimechukua ubingwa, kuongeza ligi hata Mbao Fc wakiongoza mwanzoni
Ila mnadharau jamaani khaaaa. Niulize kwani umri wa mwisho kucheza ligi kuu ni miaka mingapi?Wasisahau pia kuwasajiri akina Chibe Chibindu,Fikiri Magoso,Akida Makunda,na Monja Liseki.Hawa jamaa ni 🔥 wa kuotea mbali kwa sasa,na watasaidia kupeleka ubingwa kwenye chimbo kuu la vyura.
Yanga Veterani Oyeeeeee!!😁😁😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wewe ndo umeisoma kishabiki ila nimejaribu kuweka uhalisia kuongza ligi sio Jambo la kujivunia kabisa unaweza ongoza ubingwa akachua mwingine[emoji23][emoji23][emoji23] halafu unasema we sio shabiki wa Mikia. Maana hii comment ya kishabiki kabisa.
Aaah. Wappii. Yanga damu hatuko hivyo.Mkuu Mimi Yanga damu kwani wapi happy nimeweka kisichostahili?
Sasa mbona umeonyesha kuchomwa as if Yanga akiongoza kuna kitu inapungua mwilini kwako. Cheka tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wewe ndo umeisoma kishabiki ila nimejaribu kuweka uhalisia kuongza ligi sio Jambo la kujivunia kabisa unaweza ongoza ubingwa akachua mwingine
Tuisemee kesho kwanza pale Zambia.Mkuu jumapili Kuna kupapaswa na Masau Bwire pale kwa mchina.
Hata Winga Teleza, Edibily Jonas Lunyamila yuko fiti, huyu akipewa Mohammed Hussein Daima "Mmachinga" pale mbele atakua anammiminia tu majalo. Nafasi ya Beki 3 wasimuache Keneth Pius Mkapa,Wasisahau pia kuwasajiri akina Chibe Chibindu,Fikiri Magoso,Akida Makunda,na Monja Liseki.Hawa jamaa ni 🔥 wa kuotea mbali kwa sasa,na watasaidia kupeleka ubingwa kwenye chimbo kuu la vyura.
Yanga Veterani Oyeeeeee!!😁😁😂
Mmh. Utaniita basi nije kuona na mimi.Kesho shughuli imeisha okwi 2 Chama 1 kagere 1
Nkana FC 1 Simba 4
Mbumbumbu hiyo ndo mana sijashughulika kumjibu tena.í ½í¸í ½í¸í ½í¸ halafu unasema we sio shabiki wa Mikia. Maana hii comment ya kishabiki kabisa.
Miaka 285.Ila mnadharau jamaani khaaaa. Niulize kwani umri wa mwisho kucheza ligi kuu ni miaka mingapi?
Age mate wa Boban wote wametundika daluga amri kiemba, Musa mgosi, Ben mwalala,Victor Costa nyumba yaani kabaki kaseja tu Tena kwasababu ni golikipaIna mana Boban ni mkubwa kuliko Kagere na Wawa? Huku bongo wachezaji hudumu kwa muda mfupi sana! Kina Buffon mpaka leo bado wanacheza ila huku tunashangaa Boban kuendelea kukipiga! Ingawa ningependa timu yangu isajili kipa kuziba pengo la Beno!