Yanga yamsajili Haruna Moshi " Boban".

Yanga yamsajili Haruna Moshi " Boban".

Wasisahau pia kuwasajiri akina Chibe Chibindu,Fikiri Magoso,Akida Makunda,na Monja Liseki.Hawa jamaa ni 🔥 wa kuotea mbali kwa sasa,na watasaidia kupeleka ubingwa kwenye chimbo kuu la vyura.

Yanga Veterani Oyeeeeee!!😁😁😂
Ila mnadharau jamaani khaaaa. Niulize kwani umri wa mwisho kucheza ligi kuu ni miaka mingapi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] halafu unasema we sio shabiki wa Mikia. Maana hii comment ya kishabiki kabisa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wewe ndo umeisoma kishabiki ila nimejaribu kuweka uhalisia kuongza ligi sio Jambo la kujivunia kabisa unaweza ongoza ubingwa akachua mwingine
 
Iv wewe jamaa mleta mada yanga walikupiga mkia wakaacha kukulipa hela nini mbona kila Siku yanga yanga yanga
 
Mkuu Mimi Yanga damu kwani wapi happy nimeweka kisichostahili?
Aaah. Wappii. Yanga damu hatuko hivyo.

"Yanga imekumbwa na ukata usiopimika kwa Sasa ikijikongoja kupata wachezaji wa mafungu." Hiki ndio hakistahili yaani hapa umeingiza ushabiki ukata upo ila sio huo usiopimika.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wewe ndo umeisoma kishabiki ila nimejaribu kuweka uhalisia kuongza ligi sio Jambo la kujivunia kabisa unaweza ongoza ubingwa akachua mwingine
Sasa mbona umeonyesha kuchomwa as if Yanga akiongoza kuna kitu inapungua mwilini kwako. Cheka tu.
 
Wasisahau pia kuwasajiri akina Chibe Chibindu,Fikiri Magoso,Akida Makunda,na Monja Liseki.Hawa jamaa ni 🔥 wa kuotea mbali kwa sasa,na watasaidia kupeleka ubingwa kwenye chimbo kuu la vyura.

Yanga Veterani Oyeeeeee!!😁😁😂
Hata Winga Teleza, Edibily Jonas Lunyamila yuko fiti, huyu akipewa Mohammed Hussein Daima "Mmachinga" pale mbele atakua anammiminia tu majalo. Nafasi ya Beki 3 wasimuache Keneth Pius Mkapa,
 
Huyu atafanya Kama alivyofanya mhenga mwenzie Boniface Ambani
 
Ina mana Boban ni mkubwa kuliko Kagere na Wawa? Huku bongo wachezaji hudumu kwa muda mfupi sana! Kina Buffon mpaka leo bado wanacheza ila huku tunashangaa Boban kuendelea kukipiga! Ingawa ningependa timu yangu isajili kipa kuziba pengo la Beno!
 
Age mate wa Boban wote wametundika daluga amri kiemba, Musa mgosi, Ben mwalala,Victor Costa nyumba yaani kabaki kaseja tu Tena kwasababu ni golikipa
 
Back
Top Bottom