Yanga yamsimamisha kazi mpiga picha wao

Yanga yamsimamisha kazi mpiga picha wao

Hawa hamna kitu aisee. Hata siwaelewi kabisa. Enzi zile Simba alikuwa mteja mteja kweli kwa Yanga. Kina Sekilojo Chambua walikuwa moto kweli kweli. Yaani hutoki kwenye radio.
Hata hivyo matangazo ya radioni walikuwa wanatuchota sana na tukaamini kwamba hawa wachezaji wa zama zile walikuwa ni extra talented, mi nilipoanza kwenda uwanja wa taifa ndiyo nikaona mwenyewe mtangazaji anaweza kusema anakwenda anakwenda wakati mtu yupo na speed ya kawaida tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soka LA bongo ni ungese sasapicha in a effect gani?
 
Lungu ilikuwa nick name. Yeye ni muha wa Kigoma. Alikuwa anaitwa Nteze John.
Nteze John Lungu aliogopwa sana hasa Sudan, maana kuna mwaka El Mereikh walikufa kwa Simba mara tatu, mara ya kwanza kwenye Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (ilifanyika Sudan mechi ikavunjwa baada ya Nteze kupachika bao dakika ya mwisho, taa zikazimwa na wachezaji wa Simba hasa Mwameja wakachezea kichapo), halafu wakaja Dar kwenye Klabu Bingwa Afrika Nteze akawapiga 1-0, wakaenda kurudiana Sudan Nteze akawapiga tena 1-0. Hakuwahi kuifunga Yanga licha ya kuwa ni mtu hatari, ila kuna kipindi Yanga kwa kumuogopa wakamzushia kuwa ni raia wa Burundi na eti jina lake halisi ni Ntezemana !
 
😂😂😂😂😂 Eti Ntezemana. Inawezekana maana Kigoma wengi wametokea Burundi. Nteze alikuwa balaa kali.
 
Yanga kama wamechanganyikiwa, wafanye yote ila kufungwa kupo pale pale
 
Hata hivyo matangazo ya radioni walikuwa wanatuchota sana na tukaamini kwamba hawa wachezaji wa zama zile walikuwa ni extra talented, mi nilipoanza kwenda uwanja wa taifa ndiyo nikaona mwenyewe mtangazaji anaweza kusema anakwenda anakwenda wakati mtu yupo na speed ya kawaida tu

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂goooooo goooo lala. Anakosa hapa Said Mwamba,bao la wazi kabisa. Namna gani huyu Kizota. Namna gani hapa Yanga .Namiss utoto jamani
 
Enzi za kibadeni nilikuwa sijazaliwa au kama nilikuwa nimezaliwa basi sikuwa hata na 5 yrs. Sahau Kambi why aling'olewa meno?Hii siifahamu.Itakuwa siyo enzi yangu hii.
Mkuu kipindi hicho unachotaja Simba ilikuwa na akina Mohamed mwameja,kasongo athuman,twaha hamidu,fikiri magoso, George masatu,Ramadhan Lenny(R.I.P) Hussein Marsha, Edward chumila, ntenze John na nyota wengine kibao halafu useme yanga ilikuwa bora wakati huo!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kipindi hicho unachotaja Simba ilikuwa na akina Mohamed mwameja,kasongo athuman,twaha hamidu,fikiri magoso, George masatu,Ramadhan Lenny(R.I.P) Hussein Marsha, Edward chumila, ntenze John na nyota wengine kibao halafu useme yanga ilikuwa bora wakati huo!??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nasemea Yanga na wewe semea Simba. Mimi naona Yanga ilikuwa bora tena bora zaidi,kuliko kipindi hiki.
 
Watu wengi nawaonaga wanamsifia huyo Lunyamila basi inaonesha jamaa anajua mpira kwelkwel dah! Kiukwel nimekosa vitu vingi ila Hawa wachezaji ninaowaona sasa hiv ni pasua kichwa.
Lunyamila enzi hizo angeamua kubaki Uganda na kugombea urais basi Museven alikuwa ameshaondolewa madarakani
 
Enzi za kibadeni nilikuwa sijazaliwa au kama nilikuwa nimezaliwa basi sikuwa hata na 5 yrs. Sahau Kambi why aling'olewa meno?Hii siifahamu.Itakuwa siyo enzi yangu hii.
Enzi za list uliyoitaja ndiyo zilikya enzi za Sahau Kambi hizo...
 
Kipindi hicho cha mwaka 90 ulikuwa na miaka 52, piga mahesabu mpaka saa hii, lazima utakuwa unasoma biblia kwa kuisogeza karibu kabisa na uso.
Yaani wewe unanipenda balaa. Namwomba Mola anifikishe huko kwenye 52.Mimi ni 1980's baby. And im proud kuwa ndani ya decade 2021-2030 nitakuwa 40+.
 
Kipindi hicho cha mwaka 90 ulikuwa na miaka 52, piga mahesabu mpaka saa hii, lazima utakuwa unasoma biblia kwa kuisogeza karibu kabisa na uso.
Mme wangu G Sam njoo uone Tindo anavyonipenda.Kokote akinikuta lazima aniquote.
 
Back
Top Bottom