Mmoja mgeni rasmi msaidiziKutakuwa na wageni rasmi wawili??
DaahMmoja mgeni rasmi msaidizi
Simba nao wamemtangaza Manara kama mgeni rasmiKuelekea kwenye mchezo wa April 30, 2022 kati ya Watani wa Jadi, Yanga SC na Simba SC mchezo wa Ligi Kuu Tanzania, ambao utapigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa Jiji Dar es salaam, hatimaye Mawaziri wawili watangazwa kuwa wageni rasmi kwenye mchezo huo.
Klabu ya Yanga ambaye ndo mwenyeji wa mchezo baada ya kumtangaza mgeni rasmi, Mheshimiwa Innocent Bashungwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi.
Bodi ya Ligi nao wamemtangaza mgeni rasmi, Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
View attachment 2205122View attachment 2205123
Kwenye mchezo huu, kwani mwenyewe mamlaka ya kumtangaza mgeni rasmi ni nani?
Hizi habari za mgeni rasmi ifikie wakati vilabu vyetu na TFF na bodi ya ligi iachane nazo. Yaani imekaa kisiasa sana badala ya kimichezoKwenye mchezo huu, kwani mwenyewe mamlaka ya kumtangaza mgeni rasmi ni nani?
Mambo ya kizamani haya , wana impact gani ?Hizi habari za mgeni rasmi ifikie wakati vilabu vyetu na TFF na bodi ya ligi iachane nazo. Yaani imekaa kisiasa sana badala ya kimichezo
Niliona mgawanyiko baada ya Simba SC kumtangaza mgeni rasmi Mheshimiwa Kinana.Hizi habari za mgeni rasmi ifikie wakati vilabu vyetu na TFF na bodi ya ligi iachane nazo. Yaani imekaa kisiasa sana badala ya kimichezo
Wanasiasa ni Public figure. Au kwa mtazamo wako unataka waalikwe akina nani?Hizi habari za mgeni rasmi ifikie wakati vilabu vyetu na TFF na bodi ya ligi iachane nazo. Yaani imekaa kisiasa sana badala ya kimichezo
Sijui wanawazaga nini lakini hili huwa haliwatendei haki mashabiki hasa ukiangalia wageni rasmi wanaoletwa ni watu walio kwenye mlengo wa kisiasa tena wa chama cha aina moja. Ukiangalia hata anachokifanya uwanjani hakuna cha maanaNiliona mgawanyiko baada ya Simba SC kumtangaza mgeni rasmi Mheshimiwa Kinana.
Kwakweli hili jambo kama litaachwa ni bora kuliko kuendelea kuwepo
Umechukulia kama vile ni maoni yaliyowasilisha na mwanasimba ndio maana umejibu kishabiki hivyo.Wanasiasa ni Public figure. Au kwa mtazamo wako unataka waalikwe akina nani?
Yaani sawa tu na nyinyi mnavyo mualika Job Ndugai, Tulia Ackson na Kassim Majaliwa kama wageni rasmi kwenye matukio yenu. Hivyo hakuna tatizo katika hili.
Niliona mgawanyiko baada ya Simba SC kumtangaza mgeni rasmi Mheshimiwa Kinana.
Michuano ya CAF, klabu mwenyeji inakuwa na nguvu kuliko FA yake, so huwa inatangaza. Kwenye michuano yote ya ndani, FA ina mamlaka yote, so TFF inamtangaza, bna sio klabu. Hapo Yanga wamechemkaKwenye mchezo huu, kwani mwenyewe mamlaka ya kumtangaza mgeni rasmi ni nani?