Yanga yamtangaza Waziri Bashungwa kuwa mgeni rasmi huku Bodi ya Ligi ikimtangaza Waziri Mchengerwa

Naweka ushabiki pembeni kwanza....

Mimi nadhani Kuna sehemu katika soka letu kuna tatizo

Miscommunication kama hizi zinaleta ukakasi somewhere

Je, bodi ya ligi kuu kama msimamizi wa ligi ndio yenye dhamana ya kumtangaza mgeni rasmi au Yanga kwa kuwa ndio timu mwenyeji wa mchezo ndio mwenye haki ya kuchagua nani awe mgeni rasmi?

Kanuni zinasemaje? which is which? Bodi ya ligi na Yanga hawawasiliani ipasavyo?

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
 
Wanasiasa ni Public figure. Au kwa mtazamo wako unataka waalikwe akina nani?

Yaani sawa tu na nyinyi mnavyo mualika Job Ndugai, Tulia Ackson na Kassim Majaliwa kama wageni rasmi kwenye matukio yenu. Hivyo hakuna tatizo katika hili.
Hata Yanga walishamwalika Tulia Ackson kwenye function yao flani iv.
Shida ni kua wana umuhimu gani kualikwa km wageni rasmi, mbona ulaya hatuoni haya mambo?!!
Sawa ni public figure, basi wangealikwa angalau kwenye utoalji wa zawadi/trophy
 
Yanga SC na TPLB hawana Akili.
 
Ghazwat mwana kulitaka kulipewa mwana njoo uanzishe uzi wa game yaleo mkuu, usisahau na kibwagizo chetu cha mwana kulipewa.
 
Kati ya Bodi ya ligi na Yanga nani ana mamlaka ya kualika mgeni rasmi?
 
Mkuu Pettymagambo Uzi wa Kariakoo Derby tayari upo hewani toka majira ya saa 6 Usiku kutoka kwa mtani Joseverest

Kwahivyo ni vyema tuendelee nao huo huo tu..!

Kulipewa Mwana Kulitaka Mwana
 
Niliona mgawanyiko baada ya Simba SC kumtangaza mgeni rasmi Mheshimiwa Kinana.

Kwakweli hili jambo kama litaachwa ni bora kuliko kuendelea kuwepo
Bora uliona mgawanyiko na kuusema. Sidhani kama Simba watarudia wazo la kuleta uvyama michezoni.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Bado soka letu lina mambo ya kipumbavu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…