Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Joseverest mida yenyewe ndio hii unakwama wapi ofsa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naweka ushabiki pembeni kwanza....Kuelekea kwenye mchezo wa April 30, 2022 kati ya Watani wa Jadi, Yanga SC na Simba SC mchezo wa Ligi Kuu Tanzania, ambao utapigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa Jiji Dar es salaam, hatimaye Mawaziri wawili watangazwa kuwa wageni rasmi kwenye mchezo huo.
Klabu ya Yanga ambaye ndo mwenyeji wa mchezo huo baada ya kumtangaza mgeni rasmi, Mheshimiwa Innocent Bashungwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi.
Bodi ya Ligi nao wamemtangaza mgeni rasmi, Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Kulipewa Mwana Kulitaka Mwana
View attachment 2205122View attachment 2205123
Hii mpya aisee[emoji848]Mmoja mgeni rasmi msaidizi
Hata Yanga walishamwalika Tulia Ackson kwenye function yao flani iv.Wanasiasa ni Public figure. Au kwa mtazamo wako unataka waalikwe akina nani?
Yaani sawa tu na nyinyi mnavyo mualika Job Ndugai, Tulia Ackson na Kassim Majaliwa kama wageni rasmi kwenye matukio yenu. Hivyo hakuna tatizo katika hili.
Yanga SC na TPLB hawana Akili.Kuelekea kwenye mchezo wa April 30, 2022 kati ya Watani wa Jadi, Yanga SC na Simba SC mchezo wa Ligi Kuu Tanzania, ambao utapigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa Jiji Dar es salaam, hatimaye Mawaziri wawili watangazwa kuwa wageni rasmi kwenye mchezo huo.
Klabu ya Yanga ambaye ndo mwenyeji wa mchezo huo baada ya kumtangaza mgeni rasmi, Mheshimiwa Innocent Bashungwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi.
Bodi ya Ligi nao wamemtangaza mgeni rasmi, Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Kulipewa Mwana Kulitaka Mwana
View attachment 2205122View attachment 2205123
kila kitu ni siasa wamekaa kujipendekezaHizi habari za mgeni rasmi ifikie wakati vilabu vyetu na TFF na bodi ya ligi iachane nazo. Yaani imekaa kisiasa sana badala ya kimichezo
Uzi uloanzishwa nahako kajamaa haunogi kama ule wa mwana kulitaka mwana kulipewaMkuu Pettymagambo Uzi wa Kariakoo Derby tayari upo hewani toka majira ya saa 6 Usiku kutoka kwa mtani Joseverest
Kwahivyo ni vyema tuendelee nao huo huo tu..!
Kulipewa Mwana Kulitaka Mwana
Bora uliona mgawanyiko na kuusema. Sidhani kama Simba watarudia wazo la kuleta uvyama michezoni.Niliona mgawanyiko baada ya Simba SC kumtangaza mgeni rasmi Mheshimiwa Kinana.
Kwakweli hili jambo kama litaachwa ni bora kuliko kuendelea kuwepo
Bado soka letu lina mambo ya kipumbavu sanaKuelekea kwenye mchezo wa April 30, 2022 kati ya Watani wa Jadi, Yanga SC na Simba SC mchezo wa Ligi Kuu Tanzania, ambao utapigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa Jiji Dar es salaam, hatimaye Mawaziri wawili watangazwa kuwa wageni rasmi kwenye mchezo huo.