Yanga yamtupia virago vyake Juma Pondamali , Peter Manyika achukuwa mikoba

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426


Aliyekuwa Mkufunzi wa Makipa wa Yanga Juma Pondamali ametupiwa virago vyake kwenye mfuko wa rambo na nafasi yake imechukuliwa na Peter Manyika.

Haijafahamika hasa sababu za Pondamali kuondolewa bali kinachofahamika ni kwamba Yanga ndio timu iliyokuwa na makipa wabovu kuliko timu yoyote kwenye ligi kuu ya Tanzania bara ya msimu ulioisha , na hasa baada ya Kakolanya kuondoka baada ya kudhulumiwa hela zake.
 
Huyu mleta mada sometime huwaga anachuki sana na mara nyingi huwaga anajificha kwenye mgongo wa chadema kama viongozi wa dini wanavyojifichaga kwenye mgongo wa dini
mkuu hili ni jukwaa la michezo , tuachane kidogo na chadema , wako wanachadema ambao ni wanayanga lakini hatukuyaangalia hayo
 
Yaani wanamtimua mtu aliyelisaidia boya Kindozi likaanza kuonekana kipa imara langoni?Likifanya vyema analipongeza kweli kweli hadi likaanza kujiamini.

Yaani 'Blauzi' Kindoki alikuwa akitaka kudaka mpira lazima amwulize Pondamali "Nidake?" Pondamali akisema "hiyo huiwezi,ipangue fasta!", unaona Kindoki linapangua.Yaani alikuwa ameshikilia remote control ya golikipa no.1 wa Yanga,halafu leo mnamtimua.Vyura hamna shukurani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…