Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Aliyekuwa Mkufunzi wa Makipa wa Yanga Juma Pondamali ametupiwa virago vyake kwenye mfuko wa rambo na nafasi yake imechukuliwa na Peter Manyika.
Haijafahamika hasa sababu za Pondamali kuondolewa bali kinachofahamika ni kwamba Yanga ndio timu iliyokuwa na makipa wabovu kuliko timu yoyote kwenye ligi kuu ya Tanzania bara ya msimu ulioisha , na hasa baada ya Kakolanya kuondoka baada ya kudhulumiwa hela zake.