Yanga yangu ya GSM hawana uwezo wa kusajili mkibisha njooni mniwekee kikao niondolewe jf

Yanga yangu ya GSM hawana uwezo wa kusajili mkibisha njooni mniwekee kikao niondolewe jf

YAANI KUNA SIKU HATA NYANI (YANGA) KAMA WEWE WATASEMA NAO NI SIMBA.... πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’ WEWE NYANI KABISA TUNAKUFAHAMU UNAJIDAI SIMBA.

Ukweli mchungu:

Kuna tofauti kubwa sana pale utopolo wanapokuwa na hali ngumu ya kiunchumi na pale Mnyama Simba anapokuwa na hali ngumu ya kiuchumi.

Mautopolo yanauwezo wa kufanya usajili hata bila ya kuwa na wakina Manji, sisi MO akituacha huwa tu tunapoteana kinoma yaani.
Sisi kipindi hatuna Mo wachezaji kama Sserenkuma na Kiongera na Mwanjali na Pape Ndiawu na Kiiza aliyeisha makali ndio zilikuwa sajili zetu.

Wenzetu Utopolo waliweza kusajili akina Tshishimbi, Makambo, Lamile Moro na Metacha....
 
Back
Top Bottom