Mkuu, hizo ni propaganda za kitoto kuichafua Yanga. Hakuna kitu kama hicho. Kuna weledi wa kutosha Yanga.Gsm anaona ubahili kuleta timu.. mimi kama mwanayanga sijapenda kucheza na timu iliyolipiwa ndege kuja na iliyolala hotel kwa gharama za mikia
Yes na Yanga wataipata mapato makubwa kea sababu wanauwezo wa kuujaza uwanja. Mikia Wana miaka miwili hawajajaza uwanja wa Mkapa.Lengo la utopolo ni kupata mapato ya kiingilio cha mechi hyo, na sio kingine.
Tulichoponda Ni kuwa hakuna ligi ya mechi tatu, hakuna kombe mtu anapewa kombe kwa mechi 2.Ili Mazembe icheze na timu nyingine lazima maombi yapitie Simba na Simba itachukua sehemu ya mapato.
Halafu yanga waache kiherehere walikuwa wanaponda mashindano kumbe walikuwa wanatamani kucheza na hizo timu.
Yanga na simba ni team za mtu mmoja.Club ya Yanga imeomba mechi ya kirafiki na TP Mazembe kabla hawajaondoka nchini. Hizi taarifa zimetolewa na vice president wa TP Mazembe. Vice president amesema wataangalia kama uwezekano huo upo.
Najiuliza Yanga si waliponda sana hizi mechi na hizi timu. Kwanini wasiombe mechi labda na Ihefu au Dodoma mji.
Mashindano yalikuwa kwa ajili ya kujiandaa na klabu bingwa ya Africa, ndio maana timu zilizoalikwa ni zile zilizofuzu klabu bingwa Africa.Tulichoponda Ni kuwa hakuna ligi ya mechi tatu, hakuna kombe mtu anapewa kombe kwa mechi 2.
Kwa Nini Simba haikuialika timu Kama Yanga , Azam au hata Namungo Ili mashindano yawe kweli mashindano . Kikubwa Ni hofu ya kufunga na Yanga mara 2 mfululizo maana Hilo kombe tungebeba.
Kama Simba wangekuwa na nia ya dhati basi ni bora wangecheza tena fainali na al hilal Mahindi wa 2 Ili Mahindi wa hapo Ndio apewe kombe.
Kwani Yanga wapo kwenye kundi gani CAF CL? 😁😁😁Kwa Nini Simba haikuialika timu Kama Yanga ...
Yanga kiwango ni kidogo je uliweza kuthibitisha ndani ya uwanja kuwa ni kweli Yanga ni timu yenye kiwango kidogo ndani ya msimu huu?Mashindano yalikuwa kwa ajili ya kujiandaa na klabu bingwa ya Africa, ndio maana timu zilizoalikwa ni zile zilizofuzu klabu bingwa Africa.
Azam na yanga hawawezi kuipa Simba mazoezi yoyote kwa viwango vyao vidogo.
Vigezo na masharti vimezingatiwa.
*Mazungumzo kati ya injinia hersi na tp mazembe*manager
Injinia: habari mkuu
Tp: salama
Injinia:mkuu naomba game ya kirafiki
Tp: Wewe ni nan
Injinia; mkurugenz wa gsm
Tp: gsm ni timu gan
Injinia : sio timu mkuu bali kampuni ya kutengeneza nagodoro
Tp: kwahyo unataka tucheze na wafanyakaz wa gsm
Injinia: [emoji848]hapana mkuu yanga
Tp: yanga ndo ile timu inacheza shirikisho ya lindi anapocheza sey[emoji41][emoji41]
Injinia: [emoji849][emoji849]hapana ile ni namungo mkuu
Tp: kwan nan star kwenye timu hiyo[emoji41]
Injinia [emoji848]:kisinda mkuu
Tp: [emoji35][emoji35] kisinda!!!
Injinia: ndio
Tp😱ooh nynyi ndo mlipewa wachezaji wawili kwa mkopo na as vita???
Injinia: [emoji848] ndio
Tp; unahisi tuna la kujfunza kwa kisinda?
Injia : ndio wameongeza viwango vyao
Tp: ana goli ngap na assist ngap
Injinia: assist mbili na goli tatu za penalty mkuu
Tp:mhhh !! kwenye michuano ya kimataifa au vpl[emoji848][emoji848]
Injinia: vpl mkuu,,sis kimataifa hatupo ila tunaongoza lig vpl
Tp: [emoji23][emoji23]kuongoza ligi sio sababu maana ata sisi kule kongo motema pembe anaongoza ligi ila sisi tuna vipolo[emoji23][emoji848]vip Kwan simba hana vipolo??
Injinia: [emoji849][emoji849]wanavyo vitatu
Tp:nilijua tuu,,hivi kwa mpira walotuchezea simba mna la kusema kuhusu ubingwa??
Injinia: [emoji17]tutapambans mkuu
Tp:siwez haribu muda na kuchosha wachezaji wangu kwa timu haiko kimataifa afu star ni kisinda alieshindwa lig ya kongo[emoji41][emoji41][emoji41]
Injinia :,mkuu ila pia sisi ni mabingwa wa mapinduz cup[emoji17]
Tp:lile kombe ambalo hadi ligi daraja la pili wanashiriki nalo ni kombe[emoji23]
Injinia:ila tuliwapiga simba kwenye matuta final mkuu[emoji4][emoji4]
Tp:bwalya , miquson,chama na onyango walikuepo??
Injinia:alikuepo onyango tu[emoji17]
Tp:ndo maana
Injinia : kwahyo
Tp: hatuna la kujifunza kwenu tafuten timu hizo za level yenu
Tp: any way mna ela ya maji
Injinia : tutawalipa tukiuza kalenda mkuu
Tp:fala nn kwenda huko na ufukala wenu[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Mashindano yalikuwa kwa ajili ya kujiandaa na klabu bingwa ya Africa, ndio maana timu zilizoalikwa ni zile zilizofuzu klabu bingwa Africa.
Azam na yanga hawawezi kuipa Simba mazoezi yoyote kwa viwango vyao vidogo.
Vigezo na masharti vimezingatiwa.
Mtapata mapato makubwa mlipe faini ya TambeYes na Yanga wataipata mapato makubwa kea sababu wanauwezo wa kuujaza uwanja. Mikia Wana miaka miwili hawajajaza uwanja wa Mkapa.