Yanga yaomba mechi ya kirafiki na TP Mazembe

Yanga yaomba mechi ya kirafiki na TP Mazembe

Wanachonishangaza yanga Ni kukomalia et kwann hatukuwaalika wao yaan wao wanaamin tuliwaogopa ila wanasahau hii ilikuwa Ni kwa ajil ya timu zinazocheza club bingwa Zaid kujiandaa na michezo inayokuja.

Sasa yanga mlitaka mualikwe kwa kigezo kipi mlicho nacho hapo? Maana wote walioshirik wameingia hatua ya makundi club bingwa .
Kwahiyo tukuamini wewe unayesema kuwa Yanga wamekosa vigezo vya kushiriki mashindano? Ama tumuamini C.E.O wa Simba aliyesema kuwa walikuwa na mpango wa kuwaandikia barua timu ya Yanga lakini wakahofia watapokeaje?
 
Back
Top Bottom