Wanachonishangaza yanga Ni kukomalia et kwann hatukuwaalika wao yaan wao wanaamin tuliwaogopa ila wanasahau hii ilikuwa Ni kwa ajil ya timu zinazocheza club bingwa Zaid kujiandaa na michezo inayokuja.
Sasa yanga mlitaka mualikwe kwa kigezo kipi mlicho nacho hapo? Maana wote walioshirik wameingia hatua ya makundi club bingwa .