Yanga yaongoza possibility za kufuzu makundi CAFCL

Yanga yaongoza possibility za kufuzu makundi CAFCL

CAFCL Group A Preview!

Get ready for a thrilling Group A, where all four teams have a genuine shot at advancing to the next round.

Upsets are a real possibility, and even the favourites could find themselves on the brink of elimination.

#TotalEnergiesCAFCL #CAFCL

Yanga..........28

Tp mazembe......26

Al hilal..........25

Hyo nyingine........21

Kumbuka

Huku ni Kwa mabingwa tu ...sio looser cup
View attachment 3160288
Muda wa Labani og umefika sasa 🤣🤣🤣
Unanifurahishaga sana rafiki yangu.

Nasubiri uchambuzi wako kuelekea mechi za CAF Mkuu.
 
Possibility haikupi ushidi, kinachokupa ushindi ni kushinda dhidi ya timu unayoshindana nazo.
Kumbuka, mara ya mwisho tumefungwa na timu ambazo hazikuwa na possibility ya kutufunga.
Achana na taarifa na analysis za kujiliwaza huku ukijua hauhitajikuliwazwa bali unahitaji kushinda.
Hapa hesabu Kali zimefanyika mkuu....

Kama haukukimbia umande nadhani unajua hesabu za probability
 
Back
Top Bottom