Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Walivalishwa msuli kwenye gwaride.Chura hamna kitu.Waaalai mpira kibokoo..yani zile tambo zako kwishneyyy babujiii....
Pole sana mtani...
Kile kipondo cha Tabora naona ulipoteza nguvu zote mpk za ujana.. Labani og 🤣 🤣 🤣 🤣
Hata nikukuombea mema. ..Tuombeane mema mkuu
Kuna mwanangu Komeo Lachuma naye alijichangayaToka alivyopigwa ile ban amekuwa na nidhamu
Acha kujifurahisha, toa link tukaone ni wapi wameandika hivyoLeo haujiapizi kua ikitokea mmefungwa jumanne upigwe bun View attachment 3160294
Mie nlicheka kimya kimyaaSiyo Kufudhu ni kufuzu
Yule alistahili aliomba ban mwenyewe.Kuna mwanangu Komeo Lachuma naye alijichangaya
Muda wa Labani og umefika sasa 🤣🤣🤣CAFCL Group A Preview!
Get ready for a thrilling Group A, where all four teams have a genuine shot at advancing to the next round.
Upsets are a real possibility, and even the favourites could find themselves on the brink of elimination.
#TotalEnergiesCAFCL #CAFCL
Yanga..........28
Tp mazembe......26
Al hilal..........25
Hyo nyingine........21
Kumbuka
Huku ni Kwa mabingwa tu ...sio looser cup
View attachment 3160288
Hapa hesabu Kali zimefanyika mkuu....Possibility haikupi ushidi, kinachokupa ushindi ni kushinda dhidi ya timu unayoshindana nazo.
Kumbuka, mara ya mwisho tumefungwa na timu ambazo hazikuwa na possibility ya kutufunga.
Achana na taarifa na analysis za kujiliwaza huku ukijua hauhitajikuliwazwa bali unahitaji kushinda.