Erick Richard R-Madrid
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 399
- 282
Wakiwa sare mpaka Dakika ya 90 ya mchezo, Mchezaji wa Yanga Hassan kessy anaipatia timu yake ya yanga sports club katika mashindano ya Mapinduzi Cup.
Sasa yanga wanakuwa washindi wa pili katika kundi B na kufikisha jumla ya Point 6.
Full Time
Tango 1-0 JKU.
Sasa yanga wanakuwa washindi wa pili katika kundi B na kufikisha jumla ya Point 6.
Full Time
Tango 1-0 JKU.