Yanga yapata Goli dakika ya 90 mbele ya vijana wa JKU-Mapinduzi Cup

Yanga yapata Goli dakika ya 90 mbele ya vijana wa JKU-Mapinduzi Cup

Erick Richard R-Madrid

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2014
Posts
399
Reaction score
282
Wakiwa sare mpaka Dakika ya 90 ya mchezo, Mchezaji wa Yanga Hassan kessy anaipatia timu yake ya yanga sports club katika mashindano ya Mapinduzi Cup.

Sasa yanga wanakuwa washindi wa pili katika kundi B na kufikisha jumla ya Point 6.

Full Time

Tango 1-0 JKU.
 
Back
Top Bottom