Yanga yapata kashfa ya kuroga uwanjani

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Uongozi wa Singida United umesema kuwa kitendo kilichofanywa na Yanga Sc katika uwanja wao watatoa taarifa katika shikisho la soka TFF

Uongozi wa Singida umesema kuwa Yanga imewazuia kuingia katika uwanja wao kwa siku nzima wala mwaandishi wa Habar hakupewa nafasi ya kuingia uwanjani humo

Ila wao Yanga walizani wamefanikiwa ila wao waliwazidi akili walimtuma mtu aliyejifanya kuwa ni mwana Yanga akatazame nini wanafanya uwanjani na kurekodi video

Kilichotokea kulikuwa na vikao vya wazee mbalimbali na kumwaga maunga pamoja na wachezaji wa Yanga kufanyiwa vitu ambavyo vilionekana kuwa ni vya ajabu

Singida United uongozi wao umesema kuwa wana video iliyokamilika inayoonyesha matukio hayo na wataipeleka TFF ni kwanini walizuia watu kuingia uwanjani wakati uwanja sio wao kutoka Singida United

Akizungumza msemaji wa Singida United na waandishi wa Habari Dimba

Source: Gazeti la Dimba
 
EBWANA NAAMINI 100% bila hata kuona VIDEO,,,hao jamaa HATA VIATU vya WACHEZAJI vinakaa kwa MGANGA,,,ikitokea umefanya FYOKO,,FYOKO ,,wakikwambiya HUCHEZI TENA MPIRA,,ujuwe huchezi KWELI,,, mpira wote UNAUACHA KWA MGANGA,,,,mfano hata WACHEZA wote walioondoka YANGA KUJA SIMBA,,,mpira wote wanauwacha kwa MGANGA,,,hao WAZEE NUKSI TUPU,,,NI ZAIDI YA WANGA,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana timu zetu zinapigwa mkono kwenye international games, bado tupo kizamani sana.
 
Kwa kweli Yanga kwa uchawi wanatisha, yaani hawa bila uchawi hawachezi mpira hata siku moja na ndiyo maana Mze wao (Akilimali) analiliwa mpaka leo hii awe katibu mkuu wa benchi la ufundi kwani bila kubwia ugoro timu haivumi.
 
Wachangiaji wengi wanamihemko sana, consider source ya hio habari na ideology ya source kwenye mpira, ninachojua viongozi wa kabila la kinyaturu walikua wanampa heshima papaa zahera kwa kazi aloifanya. Nenda kasome mwanasport mbona wameweka hata picha zahera kavaa kaniki kama ishra ya heshima. Ni kocha wa kwanza nchini kupewa heshima kama ile mara nyingi tunashuhudia wanasiasa. Hata mwenyewe amekili ndo kwa mara ya kwanza kwake kupewa nishani kama ile ya heshima ya kijadi..
Siku nyingine muache umbumbumbu huko msimbazi hasa mnapokuja kwenye mchanganyiko wa wengi. Dilunga alidanganywa na nani siku ile taifa??🙌😀
 
Mavyura kwa uchawi mi nimewanyoshea mikono aisee
 
Yanga kila mchezaji ana chale za makalio
beno kakataa mganga wa timu kamuundia zengwe
 
Hizi simba na yanga uchawi wanao tena sana, hata hizi timu ndogo ni hatari hakuna ubishi.
 
Ndo maana hamuendelei mmekubali kucheza ngoma za simba na Yanga mshapotea nguvu kubwa kwisha mbona stand walizuiwa kuingia uwanjani lakini walishinda chezeni mpira acha upuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuona unavyoweweseka na zile bao 10.. Unawaza hii Jumamosi sijui utapigwa ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…