OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Uongozi wa Singida United umesema kuwa kitendo kilichofanywa na Yanga Sc katika uwanja wao watatoa taarifa katika shikisho la soka TFF
Uongozi wa Singida umesema kuwa Yanga imewazuia kuingia katika uwanja wao kwa siku nzima wala mwaandishi wa Habar hakupewa nafasi ya kuingia uwanjani humo
Ila wao Yanga walizani wamefanikiwa ila wao waliwazidi akili walimtuma mtu aliyejifanya kuwa ni mwana Yanga akatazame nini wanafanya uwanjani na kurekodi video
Kilichotokea kulikuwa na vikao vya wazee mbalimbali na kumwaga maunga pamoja na wachezaji wa Yanga kufanyiwa vitu ambavyo vilionekana kuwa ni vya ajabu
Singida United uongozi wao umesema kuwa wana video iliyokamilika inayoonyesha matukio hayo na wataipeleka TFF ni kwanini walizuia watu kuingia uwanjani wakati uwanja sio wao kutoka Singida United
Akizungumza msemaji wa Singida United na waandishi wa Habari Dimba
Source: Gazeti la Dimba