Yanga yapata kashfa ya kuroga uwanjani

Yanga yapata kashfa ya kuroga uwanjani

Uongozi wa Singida United umesema kuwa kitendo kilichofanywa na Yanga Sc katika uwanja wao watatoa taarifa katika shikisho la soka TFF

Uongozi wa Singida umesema kuwa Yanga imewazuia kuingia katika uwanja wao kwa siku nzima wala mwaandishi wa Habar hakupewa nafasi ya kuingia uwanjani humo

Ila wao Yanga walizani wamefanikiwa ila wao waliwazidi akili walimtuma mtu aliyejifanya kuwa ni mwana Yanga akatazame nini wanafanya uwanjani na kurekodi video

Kilichotokea kulikuwa na vikao vya wazee mbalimbali na kumwaga maunga pamoja na wachezaji wa Yanga kufanyiwa vitu ambavyo vilionekana kuwa ni vya ajabu

Singida United uongozi wao umesema kuwa wana video iliyokamilika inayoonyesha matukio hayo na wataipeleka TFF ni kwanini walizuia watu kuingia uwanjani wakati uwanja sio wao kutoka Singida United

Akizungumza msemaji wa Singida United na waandishi wa Habari Dimba

Source: Gazeti la Dimba
Kumbe wanashinda kwa juju halafu wanajifanya wanaujua mpira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
EBWANA NAAMINI 100% bila hata kuona VIDEO,,,hao jamaa HATA VIATU vya WACHEZAJI vinakaa kwa MGANGA,,,ikitokea umefanya FYOKO,,FYOKO ,,wakikwambiya HUCHEZI TENA MPIRA,,ujuwe huchezi KWELI,,, mpira wote UNAUACHA KWA MGANGA,,,,mfano hata WACHEZA wote walioondoka YANGA KUJA SIMBA,,,mpira wote wanauwacha kwa MGANGA,,,hao WAZEE NUKSI TUPU,,,NI ZAIDI YA WANGA,,,

Sent using Jamii Forums mobile app

kweli hii kali
 
Uongozi wa Singida United umesema kuwa kitendo kilichofanywa na Yanga Sc katika uwanja wao watatoa taarifa katika shikisho la soka TFF

Uongozi wa Singida umesema kuwa Yanga imewazuia kuingia katika uwanja wao kwa siku nzima wala mwaandishi wa Habar hakupewa nafasi ya kuingia uwanjani humo

Ila wao Yanga walizani wamefanikiwa ila wao waliwazidi akili walimtuma mtu aliyejifanya kuwa ni mwana Yanga akatazame nini wanafanya uwanjani na kurekodi video

Kilichotokea kulikuwa na vikao vya wazee mbalimbali na kumwaga maunga pamoja na wachezaji wa Yanga kufanyiwa vitu ambavyo vilionekana kuwa ni vya ajabu

Singida United uongozi wao umesema kuwa wana video iliyokamilika inayoonyesha matukio hayo na wataipeleka TFF ni kwanini walizuia watu kuingia uwanjani wakati uwanja sio wao kutoka Singida United

Akizungumza msemaji wa Singida United na waandishi wa Habari Dimba

Source: Gazeti la Dimba

Huyo aliyejifanya 'mwanayanga' wakati anapiga hiyo video alikuwa amekaa wapi???!!!
 
Back
Top Bottom