YANGA YAPATA MBADALA WA FAISAL,WANAPAMBANA KUKAMILISHA TARATIBU,UTAMBULISHO HIVI KARIBUNI

YANGA YAPATA MBADALA WA FAISAL,WANAPAMBANA KUKAMILISHA TARATIBU,UTAMBULISHO HIVI KARIBUNI

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
[emoji599]Kama kila kitu kitaenda sawa, BOBOSI BYARUHANGA kutoka Uganda [emoji1254] atajiunga na Yanga kama mbadala wa Feisal Salum, uwezekano huo ni mkubwa mno mpaka hivi sasa.

Na hizo ndio shughuli zake Bobosi, kwenye majukumu yake ya kawaida uwanjani, the Premier league isn’t ready for this talent[emoji119]

Video Credit: @startimesuganda ,

Chanzo kingine kinahabarisha....

|UPDATE
[emoji871]Kiungo wa Uganda [emoji1254] Bobosi Byaruhanga bado suala lake ni zito kwani mchezaji huyo ana mkataba na klabu MFK Vyskov ya Czech [emoji1086] licha ya mchezaji huyo kushindwa kujiunga na klabu hiyo na mpaka sasa bado yupo nchini Uganda na hachezi.

[emoji871]Shida kubwa inaelezwa ilikuwa ni kwa wakala wake kuchanganya mambo licha ya Vipers kutoa ITC yake lakini baadae klabu yake mpya iliwataarifu aendelee kucheza vipers mpka mwezi January kisha atajiunga nao lakini tayari ITC yake ilishatoka....Bobosi anahusishwa na Yanga lakini ni lazima makubaliano yawe kati ya MFK na Yanga ili mchezaji huyo ajiunge na Yanga,tofauti na hapo atalazimika kusafiri kwenda Ulaya mwezi ujao.

[emoji871]KUHUSU MANZOKI SOON TAARIFA KAMILI ITAKUWA HAPA ENDELEA KUFATILIA PAGE YETU.
@galsportbettingtz @sifex_aircargo
images%20(68).jpg
 
Kama hivyo ndivyo, Yanga itabidi wamuachie mchezaji mmoja wa kimataifa, unless pawe na nafasi moja iliyobaki, kwani huwezi kuacha mchezajibwa ndani, kisha ukam replace kwa kuleta mchezaji wa nje.
 
Za ndaaaaaaaaaaaaaaniiiiii kabisa DICKSON JOB anakunja milion moja na laki nane kwa mwezi,na Zaka za kazi anajua kasema anaenda kumwambia Yusuph Bakhresa[emoji23][emoji95] nyieeeeee
 
Za ndaaaaaaaaaaaaaaniiiiii kabisa DICKSON JOB anakunja milion moja na laki nane kwa mwezi,na Zaka za kazi anajua kasema anaenda kumwambia Yusuph Bakhresa[emoji23][emoji95] nyieeeeee
1.8 sio kinyonge, kwa nilichokiona kwa Feisal leo mi nilitegemea pengine kwa Dickson Job atakuwa anacheza kwenye 850K
 
Back
Top Bottom