Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,040
- 33,028
YANGA WATUMA MAOMBI SIMBA KUCHEZA NAO SIKU YA MWANANCHI
Afisa habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema wanatafuta timu nzuri ya kucheza nayo katika kilele cha wiki ya wananchi, Kamwe amesema kwakuwa kipindi cha matamasha ya wiki ya wananchi na Simba day itakuwa ngumu kupata timu za kucheza nazo basi wao wametuma barua kuwaomba Simba SC Tanzania wacheze nao na wao siku ya Simba day wapo tayari kwenda kucheza nao kwahiyo mechi itapigwa ugenini na nyumbani (Home and away)
[emoji3591]Unaonaje hili wazo?
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app