Kolo hawawezi kubali hilo wazo😀😀😀
kimahesabu kolo hawezi kukubali jambo hilo,atapigwa mechi zote 2 ukichanganya 2 za ligi zitakuwa 4 bado kuna mechi ya ngao hapo zitakuwa 5,kombe la CRDB ikitokea wamekutana zitakuwa 6,hata km wewe ndo kolo CAN YOU MANAGE VIPIGO 6 kwenye msimu?bora akatae hili la mwananchi ili apunguze hiyo idadiYANGA WATUMA MAOMBI SIMBA KUCHEZA NAO SIKU YA MWANANCHI
Afisa habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema wanatafuta timu nzuri ya kucheza nayo katika kilele cha wiki ya wananchi, Kamwe amesema kwakuwa kipindi cha matamasha ya wiki ya wananchi na Simba day itakuwa ngumu kupata timu za kucheza nazo basi wao wametuma barua kuwaomba Simba SC Tanzania wacheze nao na wao siku ya Simba day wapo tayari kwenda kucheza nao kwahiyo mechi itapigwa ugenini na nyumbani (Home and away)
[emoji3591]Unaonaje hili wazo?
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
UonevuYANGA WATUMA MAOMBI SIMBA KUCHEZA NAO SIKU YA MWANANCHI
Afisa habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema wanatafuta timu nzuri ya kucheza nayo katika kilele cha wiki ya wananchi, Kamwe amesema kwakuwa kipindi cha matamasha ya wiki ya wananchi na Simba day itakuwa ngumu kupata timu za kucheza nazo basi wao wametuma barua kuwaomba Simba SC Tanzania wacheze nao na wao siku ya Simba day wapo tayari kwenda kucheza nao kwahiyo mechi itapigwa ugenini na nyumbani (Home and away)
[emoji3591]Unaonaje hili wazo?
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hahahaa kwann mkuuKolo hawawezi kubali hilo wazo😀😀😀
Anaiogopa Yanga, huoni walivyokua wanakimbiza timu hapo juzikati.Hahahaa kwann mkuu
Kwanini mkuu...mbna Wana mpanzuLazima wakimbie