SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Kuna siku niliwahi kuongelea "obsession" waliyonayo viongozi wa sasa wa Yanga juu ya mambo yanayofanana na Simba, kuanzia rangi za jezi hadi wachezaji wake.
Katika jambo la kushangaza sana na naamini litaleta mjadala mkubwa ndani na nje ya klabu hiyo, leo wamepiga picha rasmi ya msimu ya timu nzima kwa kutumia siyo kit ya kwanza ya nyumbani, siyo kit ya pili ya ugenini, siyo kit ya tatu, bali jezi za mazoezi, kisa tu ni nyeupe.
Yajayo yanafurahisha.