Hili jambo limenishangaza sana, labda wenyewe watatoa ufafanuzi kuhusu hilo. Ila ni jambo ambalo linafikirisha kwa kweli.Kuna siku niliwahi kuongelea "obsession" waliyonayo viongozi wa sasa wa Yanga juu ya mambo yanayofanana na Simba, kuanzia rangi za jezi hadi wachezaji wake.
Katika jambo la kushangaza sana na naamini litaleta mjadala mkubwa ndani na nje ya klabu hiyo, leo wamepiga picha rasmi ya msimu ya timu nzima kwa kutumia siyo kit ya kwanza ya nyumbani, siyo kit ya pili ya ugenini, siyo kit ya tatu, bali jezi za mazoezi, kisa tu ni nyeupe.
Yajayo yanafurahisha.
😂Pengine walikwepa aibu ya wanaume wazima kupiga picha wakiwa wamevaa Vitenge & dela
Kama Goli 5 za mwezi wa 5 mpaka Leo Dish Bado limeyumba itakuaje Goli 8 za tarehe 8.
Inakuuma?Kuna siku niliwahi kuongelea "obsession" waliyonayo viongozi wa sasa wa Yanga juu ya mambo yanayofanana na Simba, kuanzia rangi za jezi hadi wachezaji wake.
Katika jambo la kushangaza sana na naamini litaleta mjadala mkubwa ndani na nje ya klabu hiyo, leo wamepiga picha rasmi ya msimu ya timu nzima kwa kutumia siyo kit ya kwanza ya nyumbani, siyo kit ya pili ya ugenini, siyo kit ya tatu, bali jezi za mazoezi, kisa tu ni nyeupe.
Yajayo yanafurahisha.
Na wasubiri tarehe nane, maana tunapiga kitarehe tarehe tu siku hizi..!!Tangu mpigwe 5 akili zisha ruka
Umesahau 5-0 zenu.Kama Goli 5 za mwezi wa 5 mpaka Leo Dish Bado limeyumba itakuaje Goli 8 za tarehe 8.
Mnaenda kupoteana mazima.
Hayo ndio makombe ya makolo,wamewekezq sana kwenye propaganda wakati wenzao wamewekeza kwenye pitch na management iliyo boraUnawapangia rangi?? Tatizo kubwa humu ndani ni ujuaji kila kitu mnakijua so sad
nami nimeshangaa sana ..yanga na rangi nyeupe wapi na wapi
Hili jambo limenishangaza sana, labda wenyewe watatoa ufafanuzi kuhusu hilo. Ila ni jambo ambalo linafikirisha kwa kweli.
Ova
Unawapangia rangi?? Tatizo kubwa humu ndani ni ujuaji kila kitu mnakijua so sad
Pengine walikwepa aibu ya wanaume wazima kupiga picha wakiwa wamevaa Vitenge & dela
Haya yatakuwa masharti ya mganga haya si bure. Ndiyo maana jana wakajaribu kila njia kufunga magoli yanayofanana na yale waliyofunga Simba juzi. Dube na magoli ya mashuti ya mbali wapi na wapi?Inakuuma?
Je zitanukaKuna siku niliwahi kuongelea "obsession" waliyonayo viongozi wa sasa wa Yanga juu ya mambo yanayofanana na Simba, kuanzia rangi za jezi hadi wachezaji wake.
Katika jambo la kushangaza sana na naamini litaleta mjadala mkubwa ndani na nje ya klabu hiyo, leo wamepiga picha rasmi ya msimu ya timu nzima kwa kutumia siyo kit ya kwanza ya nyumbani, siyo kit ya pili ya ugenini, siyo kit ya tatu, bali jezi za mazoezi, kisa tu ni nyeupe.
Yajayo yanafurahisha.
Muulize ManulaHaya yatakuwa masharti ya mganga haya si bure. Ndiyo maana jana wakajaribu kila njia kufunga magoli yanayofanana na yale waliyofunga Simba juzi. Dube na magoli ya mashuti ya mbali wapi na wapi?