engine rock
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,379
- 1,394
Haiwezekani....wamezoea kununua mechi, stand wamegoma hata wao wautaka ubingwa.Usije ukashaangaa wanapewa penati
Bora sikwenda uwanjani!Yanga wamepaniki,ni dk ya 87
Una kiherehere mkuu!Refa chunga dakika za nyongeza,zisizidi 3.Ni dakika ya 90 hapa
kwani "wana" hawapo uwanjani??Mamaaa Yanga wanamfanyia uhuni beki wa Wana,wanampiga kichwa
Lazima yanga wachomoe!Dk 5 za nyongeza
Hawajafungwa hata mechi moja hawaHongera Stand United kwa ushindi 1 - 0, Ongezeni juhudi zaidi katika mechi zinazofata
wahuni wamekata kandambili!Mpira umekwishaaaaa Yanga yalala kwa goli 1