Yanga yapokea kichapo cha kwanza ligi kuu Bara, Stand United 1-0 Yanga

Yanga yapokea kichapo cha kwanza ligi kuu Bara, Stand United 1-0 Yanga

Mamaaa Yanga wanamfanyia uhuni beki wa Wana,wanampiga kichwa
 
Refa chunga dakika za nyongeza,zisizidi 3.Ni dakika ya 90 hapa
 
Hongera Stand United kwa ushindi 1 - 0, Ongezeni juhudi zaidi katika mechi zinazofata
 
Back
Top Bottom