yahoo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 3,526
- 1,409
Tamasha lililomtemesha kocha .....mxxxxx
Ni kama lile la simba day lililomfukuza kocha wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tamasha lililomtemesha kocha .....mxxxxx
naona umerudi kasi baada ya kupata pointi
halijafikia la mtani jembe........mlitimua uongozi mzima wa kiutawala na kiufundi
Ndio,mashabiki wa yanga hawajawahi kuitwa mbumbuMbu na mwenye kiti wao,wakaHivi Kuna Jambo Ambalo Limewahi Kufanywa Na Simba Halafu Yanga Hawajawahi??.. Au Limewahi Kufanywa Na Yanga Halafu Simba Wasilifanye??
Mkuu hata unywaji wa bia Yanga huongoza kwenye 'nani mtani jembe'.Wao ndo wanunuaji wazuri wa magazeti. Inasemekana magazeti ya tarehe 15/12/2/14 siku ya jumapili baada ya mechi ya mtamu jembe Karibu 70% hayakununuliwa. Ndo maana magazeti mengi yanaandika habari Yao. Nb ata mechi zap ndo zinaingiza mapato mengi
Ligi ndiyo inaanza mkuu
Hivi Kuna Jambo Ambalo Limewahi Kufanywa Na Simba Halafu Yanga Hawajawahi??.. Au Limewahi Kufanywa Na Yanga Halafu Simba Wasilifanye??
Tamasha lililomtemesha kocha .....mxxxxx
mmeamka halafu mpo wenyewe simba tumejificha kwa kipigo cha jana