Yanga Yarudi Magazetini

Hapo Wa Kuwazungumzia Sio Yanga Bali Ni Waandishi. Maana Wao Wasipoandika Habari Ya Yanga Tu, Siku Hiyo Familia Zao Zitashinda Na Njaa.
 
halijafikia la mtani jembe........mlitimua uongozi mzima wa kiutawala na kiufundi

Hivi Kuna Jambo Ambalo Limewahi Kufanywa Na Simba Halafu Yanga Hawajawahi??.. Au Limewahi Kufanywa Na Yanga Halafu Simba Wasilifanye??
 
Mtani jembe ni tamasha kama matAmasha mengine yote eg tamasha la pasaka,
 
Hivi Kuna Jambo Ambalo Limewahi Kufanywa Na Simba Halafu Yanga Hawajawahi??.. Au Limewahi Kufanywa Na Yanga Halafu Simba Wasilifanye??
Ndio,mashabiki wa yanga hawajawahi kuitwa mbumbuMbu na mwenye kiti wao,waka
Ti wa simba wamewahi
 
Wao ndo wanunuaji wazuri wa magazeti. Inasemekana magazeti ya tarehe 15/12/2/14 siku ya jumapili baada ya mechi ya mtamu jembe Karibu 70% hayakununuliwa. Ndo maana magazeti mengi yanaandika habari Yao. Nb ata mechi zap ndo zinaingiza mapato mengi
Mkuu hata unywaji wa bia Yanga huongoza kwenye 'nani mtani jembe'.
 
Hivi Kuna Jambo Ambalo Limewahi Kufanywa Na Simba Halafu Yanga Hawajawahi??.. Au Limewahi Kufanywa Na Yanga Halafu Simba Wasilifanye??

Ndiyo, Yanga hawajawahi kutoa sare 6 mfululizo, Yanga hawajawahi kung'oa viti uwanja wa Taifa baada ya kufungwa, Yanga hawajawahi kuwa mambumbumbu, ....
 
mmeamka halafu mpo wenyewe simba tumejificha kwa kipigo cha jana
 
mmeamka halafu mpo wenyewe simba tumejificha kwa kipigo cha jana

Matarajio yenu ni kuwa kesho Azam iifunge Yanga ili tufananefanane hata kwa mbali. Nasikitika kuwajulisha kuwa kesho tutashinda na kuamsha hasira kali mtaa wa M-Simba-Ziii!
 
Yanga yarudi uwanjani, Simba magazetini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…