Yanga Yarudi Magazetini

mkikutana na mnyama mnakaa kilaiiiini
 
ndio,mashabiki wa yanga hawajawahi kuitwa mbumbumbu na mwenye kiti wao,waka
ti wa simba wamewahi
ongeza na hii mkuu...washabiki wa yanga hawajawahi kuitwa mabaa maid na kocha waok
 
Sasa mnaifuata coastal mkwakwani
 
Baada ya hapo mnaenda kwa nawa tinzile mbeya city
 
Mpira wa magazeetini unaigharimu yanga
 
[h=1]Kaseja: Yanga inapiga siasa[/h]Wakati Mwanasheria wa kipa Juma Kaseja, Samson Mbamba akisema Yanga wanapiga siasa, mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi amesema hataki kusumbua akili kufuatilia madai Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…