Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Klabu ya Yanga imeingia mkataba wa miaka mitatu (3) na Kampuni ya kubashiri SportPesa, mkataba wenye thamani ya Shilingi Bilioni 21.7 ndani ya miaka mitatu.
"Baada ya sisi kuingia Yanga, tuliwapa nguvu ya kiuchumi. Yanga imekuwa na misuli ya kumsajili mchezaji kutoka klabu yoyote. Hii imefanya Yanga iwe na uwezo wa kumuuza mchezaji yoyote kwa sababu ina uwezo wa kumsajili mchezaji yeyote. Leo tumesaini mkataba mpya wa miaka mitatu. Mkataba huu ni Tshs bilion 21.7 Mkataba huu utaifanya Yanga iwe na ndoto ya kuwa Bingwa wa AFRIKA. Nje ya udhamini huu, Sportpesa Tumeweka Bonasi Kubwa kwenye mechi za kimataifa." - Abbasi Tarimba