Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Aaahhhhhh basii sawaaaaKlabu ya Yanga imeingia mkataba wa miaka mitatu (3) na Kampuni ya kubashiri SportPesa, mkataba wenye thamani ya Shilingi Bilioni 21.7 ndani ya miaka mitatu.
Hata usajili walianza kutangaza baada ya simbaMara zote yanga huja na deals zao baada ya simba..
🤔
Kwanini?
ponjoro la Kinondoni katika ubora wake!Klabu ya Yanga imeingia mkataba wa miaka mitatu (3) na Kampuni ya kubashiri SportPesa, mkataba wenye thamani ya Shilingi Bilioni 21.7 ndani ya miaka mitatu.
"Baada ya sisi kuingia Yanga, tuliwapa nguvu ya kiuchumi. Yanga imekuwa na misuli ya kumsajili mchezaji kutoka klabu yoyote. Hii imefanya Yanga iwe na uwezo wa kumuuza mchezaji yoyote kwa sababu ina uwezo wa kumsajili mchezaji yeyote. Leo tumesaini mkataba mpya wa miaka mitatu. Mkataba huu ni Tshs bilion 21.7 Mkataba huu utaifanya Yanga iwe na ndoto ya kuwa Bingwa wa AFRIKA. Nje ya udhamini huu, Sportpesa Tumeweka Bonasi Kubwa kwenye mechi za kimataifa." - Abbasi Tarimba
Kwanini Simba deals zao kabla ya YangaMara zote yanga huja na deals zao baada ya simba..
🤔
Kwanini?
Mkataba wa Sportpesa na Yanga ulianza 2022-2025 means umeisha, mkataba wa M-bet na simba ulikuwa 2022-2027 wao wamevunja mkataba, unashangaa nini Yanga kuingia mkataba mwaka huu ingali umeisha???Mara zote yanga huja na deals zao baada ya simba..
🤔
Kwanini?
Naomba urekebishe , sports pesa ni kampuni ya kamari kwa njia ya kubashiri, ila wanyonge mnaliwa kweli, hizo bil 21 zote zinatoka mifukoni mwenu hazitoki sportpesa wala kwa ponjoroKlabu ya Yanga imeingia mkataba wa miaka mitatu (3) na Kampuni ya kubashiri SportPesa, mkataba wenye thamani ya Shilingi Bilioni 21.7 ndani ya miaka mitatu.
"Baada ya sisi kuingia Yanga, tuliwapa nguvu ya kiuchumi. Yanga imekuwa na misuli ya kumsajili mchezaji kutoka klabu yoyote. Hii imefanya Yanga iwe na uwezo wa kumuuza mchezaji yoyote kwa sababu ina uwezo wa kumsajili mchezaji yeyote. Leo tumesaini mkataba mpya wa miaka mitatu. Mkataba huu ni Tshs bilion 21.7 Mkataba huu utaifanya Yanga iwe na ndoto ya kuwa Bingwa wa AFRIKA. Nje ya udhamini huu, Sportpesa Tumeweka Bonasi Kubwa kwenye mechi za kimataifa." - Abbasi Tarimba
Umeelewa swali, punguza mihemko.Mkataba wa Sportpesa na Yanga ulianza 2022-2025 means umeisha, mkataba wa M-bet na simba ulikuwa 2022-2027 wao wamevunja mkataba, unashangaa nini Yanga kuingia mkataba mwaka huu ingali umeisha???
We hujielewiUmeelewa swali, punguza mihemko.
Sipo kwenye uchizi wa ushabiki..
Chunguza vitu vingi, kutangazwa Kwa jezi, hata huo mkataba wa kwanza Yanga na sportpesa km sikosei waliutangaza baadae ya wa Simba..