Yanga yasaini Dili Nono la Bilioni 21.7 na SportPesa

Umeelewa swali, punguza mihemko.
Sipo kwenye uchizi wa ushabiki..
Chunguza vitu vingi, kutangazwa Kwa jezi, hata huo mkataba wa kwanza Yanga na sportpesa km sikosei waliutangaza baadae ya wa Simba..
Wewe na wewe usitake Rage aendelee kupewa maua yake,,kama mkataba umeisha ulitaka wafanyeje? Basi waambie Simba wasaini mkataba wao baada ya yanga kusaini ili muda wa kuisha uwe mbele ya mkataba wa yanga kuisha,,kitu ambacho akitakiwi ata utumie elimu ya chekechea bado unaonyesha umbumbumbu tu aisee!
 
Umeelewa swali, punguza mihemko.
Sipo kwenye uchizi wa ushabiki..
Chunguza vitu vingi, kutangazwa Kwa jezi, hata huo mkataba wa kwanza Yanga na sportpesa km sikosei waliutangaza baadae ya wa Simba..
Andika vizuri kwanza
 
Hongera kwa Yanga, ni hatuna nzuri baada ya Simba. Timu zote zikiwa na udhamini unaoeleweka mambo yatakuwa mazuri .
 
Ponjoro is here to stay ..using frogs .for political gain
 
Mara zote yanga huja na deals zao baada ya simba..
🤔
Kwanini?
Kuna mwaka sikumbuki 2022 ama 2023 simba walifanya mkutano wao wakatangaza bajeti, baada Yanga nao wakafanya mkutano wao wakatangaza bajeti kubwa kuliko Simba, Guess what?
 
Naomba urekebishe , sports pesa ni kampuni ya kamari kwa njia ya kubashiri, ila wanyonge mnaliwa kweli, hizo bil 21 zote zinatoka mifukoni mwenu hazitoki sportpesa wala kwa ponjoro
Huwezi kutupangia matumizi ya pesa zetu.
 
Kuna mwaka sikumbuki 2022 ama 2023 simba walifanya mkutano wao wakatangaza bajeti, baada Yanga nao wakafanya mkutano wao wakatangaza bajeti kubwa kuliko Simba, Guess what?
Kweli au ?


Sasa sijui hapo nani kaanza? Mfano mwengine Yanga katangaza mkutano wake mwezi wa tisa mwanzoni, ndipo atatangaza bajeti yake then utaona bajeti yenu.
 
Kuna mwaka sikumbuki 2022 ama 2023 simba walifanya mkutano wao wakatangaza bajeti, baada Yanga nao wakafanya mkutano wao wakatangaza bajeti kubwa kuliko Simba, Guess what?
Nyingine hii hapa 2022,sasa mpaka hapo ushapata picha nani huwaga anamsikiliziaga mwenzake.

 
Mkataba wa Sportpesa na Yanga ulianza 2022-2025 means umeisha, mkataba wa M-bet na simba ulikuwa 2022-2027 wao wamevunja mkataba, unashangaa nini Yanga kuingia mkataba mwaka huu ingali umeisha???
Wao huwa wanapenda kujilinganisha na Yanga. Nyie hamjui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…