Yanga yasajili mabeki wengi ili kumdhibiti Louis Micquisone

Okw mnakera wakati mwingine Bwana. Mtu unafungua Uzi ukidhani kuna cha maana unakuta mwenzio kaandika utopolo mtupu Hadi unajutia MB zako? Wewe binafsi unamwelewa Mtu anayeamini kuvaa No.6 lazima ucheze No.6 uwanjani?
Mkuu social media hazipo kukufurahisha wewe. Nakushauri uchague habari, useless news kwako zipotezee tu mkuu. Sisi wengine ni wanazi. Tunapenda hizi stori, bila jokes hakuna utani wa jadi.
 
HIi ndio shida ya kuamka asubuhi nyumbani mume wa dada yako halafu unawahi sebuleni kugombea remote na house girl
 
Timu zetu za kariakoo achana nazo tusubirie msimu uanze kwenye kusajili Kuna shida sana

Timu pekee imefanya usajili Kwa uhakika n Azam tyr wameboresha kambi yao wanapiga tizi kinomaaa cc bado adi leo tunashindana na mausajili...
Bonge moja la comment!!
 
yaani nyi
nyie madunduka hamna kabisa mawazo kama taifa hili linahitaji angalau klabu moja iliyowahi kunyakua ubingwa wa afrika,ndo maana kila siku nyie robo fainali tu kwa mawazo ya kijinga kama hayo,hamuendelei mbele nyie robo tu
 
Inavyoandika utadhani msimu ujao mechi za timu mbili tu (Yanga na Simba). Akili za kishabiki bwana......
 
Tatizo mna madingi humu mnachukulia michezo kama ibada full kununa. Hatuwezi kwenda hivyo. Michezo ni furaha, tena kuna utani wa jadi. Mambo ya Simba na Yanga ukiyachukulia hivyo utaumiza kichwa bila sababu.
Mkuu tofautisha utani na ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…