Akwota
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 791
- 633
Umeumia ehWe inakuuma nini sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeumia ehWe inakuuma nini sasa?
Simba imemsajili lini Miquisone?Kila ukifatilia usajili wa wenzetu wa jangwani unaona wamesajili mabeki, mara Fred kutoka Uganda na sasa hivi beki kutoka Asec, hiyo ni kutokana na mawinga hatari waliopo Simba ss hv akiwemo Louis Micquisone, Kramo, Kibu Denis nk.
Kazi ipo msimu ujao
Kweli kabisaa maana Mayele kashindikanaShaulile na karhaba
huyo mikisome haji simbaKila ukifatilia usajili wa wenzetu wa jangwani unaona wamesajili mabeki, mara Fred kutoka Uganda na sasa hivi beki kutoka Asec, hiyo ni kutokana na mawinga hatari waliopo Simba ss hv akiwemo Louis Micquisone, Kramo, Kibu Denis nk.
Kazi ipo msimu ujao