Kwa nini kila wakati iwe miaka miwili?Habari kutoka Rwanda zimethibitisha klabu ya Yanga kuwasajili wachezaji wa 2 wa timu ya Taifa ya Rwanda kwa miaka Kila mmoja
Issa Bigirimana kutokea APR anaecheza Kama straiker na Sibomana Papy anaecheza winger ya kushoto kutoka Victoria.
Kocha Zahera ameanza kukisuka kikosi chake msimu ujao kupambana na bingwa Simba msimu ujaoView attachment 1111247View attachment 1111250View attachment 1111252
Wenzao wanakimbia wao wanaingia.Haya....Shibe watakua wanaisikilizia kwa wengine
Leta jina 1 la anaetaka kuja kucheza bure... Na kwa system hii ndio mnalilia kombe wakati point hazitoshiKatika walozi, we we ndiyo kinara wao.
Hivi unafikiri Timu kama Yanga inaweza kosa wachezaji kweli? Wengine wsnaomba kuja kucheza hata bure, ili mradi tu waonekane. Wajinga na wasiojielewa ndiyo wanajazana huko kwenu mwishowe.wanaishia kusugua benchi tu.
Boxer level nyingine kabisa yule chalii....Kwa kikosi hiki cha kina boxa na ninja tumewakimbiza mpaka wakatumia mbinu ' ovu' kuchukua ubingwa! Sina hofu kabisa msimu ujao mapema tu ubingwa unarudi kwao!
Kweli.. mlivyokuwa mmetangulia mechi, lakini tulivyoanza kula viporo mkaanza kuja na porojo.Kwa kikosi hiki cha kina boxa na ninja tumewakimbiza mpaka wakatumia mbinu ' ovu' kuchukua ubingwa! Sina hofu kabisa msimu ujao mapema tu ubingwa unarudi kwao!
Kikosi chako cha kimataifa mtan kilipambana na Mashujaa fc,mambo yalikwa si haba[emoji23][emoji23][emoji23].Yaani yanga inawaza kusuka kikosi kwa ajili ya kuifunga simba? Wakati simba ina suka kikosi kupambana na wakina Tp mazembe na Esperance?
kweli awazavyo tai ni tofauti na awavyo kuku. Huwezi shindana na kikosi cha kimataifa mtani wewe pambana na wakina namungo fc ndio levo yako mtani. Simba ni levo ingine mjomba.
Yaani yanga inawaza kusuka kikosi kwa ajili ya kuifunga simba? Wakati simba ina suka kikosi kupambana na wakina Tp mazembe na Esperance?
kweli awazavyo tai ni tofauti na awavyo kuku. Huwezi shindana na kikosi cha kimataifa mtani wewe pambana na wakina namungo fc ndio levo yako mtani. Simba ni levo ingine mjomba.
Acha woga. Mpaka ktk kuandika UNAOGOPAKwa kikosi hiki cha kina boxa na ninja tumewakimbiza mpaka wakatumia mbinu ' ovu' kuchukua ubingwa! Sina hofu kabisa msimu ujao mapema tu ubingwa unarudi kwao!
Hilo umepata wapi? Ni wapi Yanga walitamka kuwa wanasuka kikosi ili kuifunga simba?Yaani yanga inawaza kusuka kikosi kwa ajili ya kuifunga simba? Wakati simba ina suka kikosi kupambana na wakina Tp mazembe na Esperance?
kweli awazavyo tai ni tofauti na awavyo kuku. Huwezi shindana na kikosi cha kimataifa mtani wewe pambana na wakina namungo fc ndio levo yako mtani. Simba ni levo ingine mjomba.