Yanga yasajili Wanyarwanda 2 kusuka kikosi kipya

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Habari kutoka Rwanda zimethibitisha klabu ya Yanga kuwasajili wachezaji wa 2 wa timu ya Taifa ya Rwanda kwa miaka Kila mmoja
Issa Bigirimana kutokea APR anaecheza Kama straiker na Sibomana Papy anaecheza winger ya kushoto kutoka Victoria.
Kocha Zahera ameanza kukisuka kikosi chake msimu ujao kupambana na bingwa Simba msimu ujao
Screenshot_20190529-120205.jpeg
Screenshot_20190529-120138.jpeg
Screenshot_20190529-120126.jpeg
 
Habari kutoka Rwanda zimethibitisha klabu ya Yanga kuwasajili wachezaji wa 2 wa timu ya Taifa ya Rwanda kwa miaka Kila mmoja
Issa Bigirimana kutokea APR anaecheza Kama straiker na Sibomana Papy anaecheza winger ya kushoto kutoka Victoria.
Kocha Zahera ameanza kukisuka kikosi chake msimu ujao kupambana na bingwa Simba msimu ujaoView attachment 1111247View attachment 1111250View attachment 1111252
Kwa nini kila wakati iwe miaka miwili?
Ndiyo sababu inafika wakati kila timu nzima inaondoka. Mazoea haya si mazuri.
 
Wenzao wanakimbia wao wanaingia.Haya....Shibe watakua wanaisikilizia kwa wengine
 
Katika walozi, we we ndiyo kinara wao.
Hivi unafikiri Timu kama Yanga inaweza kosa wachezaji kweli? Wengine wsnaomba kuja kucheza hata bure, ili mradi tu waonekane. Wajinga na wasiojielewa ndiyo wanajazana huko kwenu mwishowe.wanaishia kusugua benchi tu.

Leta jina 1 la anaetaka kuja kucheza bure... Na kwa system hii ndio mnalilia kombe wakati point hazitoshi
 
Yaani yanga inawaza kusuka kikosi kwa ajili ya kuifunga simba? Wakati simba ina suka kikosi kupambana na wakina Tp mazembe na Esperance?

kweli awazavyo tai ni tofauti na awavyo kuku. Huwezi shindana na kikosi cha kimataifa mtani wewe pambana na wakina namungo fc ndio levo yako mtani. Simba ni levo ingine mjomba.
 
Mwanzo mzuri! Mashabiki tungependa kuiona Yanga ambayo msimu ujao itaogopwa na vitimu vikamiaji na vyenye mafungamano na boda boda fc kama Lipuli na Biashara united. Ubingwa msimu ujao ni 100% hata wafanye figisu za aina gani.
 
Kwa kikosi hiki cha kina boxa na ninja tumewakimbiza mpaka wakatumia mbinu ' ovu' kuchukua ubingwa! Sina hofu kabisa msimu ujao mapema tu ubingwa unarudi kwao!
Boxer level nyingine kabisa yule chalii....
Sio mchezo anajua sana ila kuna some mistake kidogo za marekebisho
 
Kwa kikosi hiki cha kina boxa na ninja tumewakimbiza mpaka wakatumia mbinu ' ovu' kuchukua ubingwa! Sina hofu kabisa msimu ujao mapema tu ubingwa unarudi kwao!
Kweli.. mlivyokuwa mmetangulia mechi, lakini tulivyoanza kula viporo mkaanza kuja na porojo.
 
Yaani yanga inawaza kusuka kikosi kwa ajili ya kuifunga simba? Wakati simba ina suka kikosi kupambana na wakina Tp mazembe na Esperance?

kweli awazavyo tai ni tofauti na awavyo kuku. Huwezi shindana na kikosi cha kimataifa mtani wewe pambana na wakina namungo fc ndio levo yako mtani. Simba ni levo ingine mjomba.
Kikosi chako cha kimataifa mtan kilipambana na Mashujaa fc,mambo yalikwa si haba[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Wamesuka lini?kuna mchezaji yeyote wa maana wamemsajili??Ibrahim Ajib???
Yaani yanga inawaza kusuka kikosi kwa ajili ya kuifunga simba? Wakati simba ina suka kikosi kupambana na wakina Tp mazembe na Esperance?

kweli awazavyo tai ni tofauti na awavyo kuku. Huwezi shindana na kikosi cha kimataifa mtani wewe pambana na wakina namungo fc ndio levo yako mtani. Simba ni levo ingine mjomba.
 
Kwa kikosi hiki cha kina boxa na ninja tumewakimbiza mpaka wakatumia mbinu ' ovu' kuchukua ubingwa! Sina hofu kabisa msimu ujao mapema tu ubingwa unarudi kwao!
Acha woga. Mpaka ktk kuandika UNAOGOPA
 
Yaani yanga inawaza kusuka kikosi kwa ajili ya kuifunga simba? Wakati simba ina suka kikosi kupambana na wakina Tp mazembe na Esperance?

kweli awazavyo tai ni tofauti na awavyo kuku. Huwezi shindana na kikosi cha kimataifa mtani wewe pambana na wakina namungo fc ndio levo yako mtani. Simba ni levo ingine mjomba.
Hilo umepata wapi? Ni wapi Yanga walitamka kuwa wanasuka kikosi ili kuifunga simba?
 
Back
Top Bottom