Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Ili uende huko kimataifa si lazima uongoze ligi ya ndani?
Lazima uifunge hiyo Simba na wengine hivyo si kitu kibaya...
Lazima uifunge hiyo Simba na wengine hivyo si kitu kibaya...
Yaani yanga inawaza kusuka kikosi kwa ajili ya kuifunga simba? Wakati simba ina suka kikosi kupambana na wakina Tp mazembe na Esperance?
kweli awazavyo tai ni tofauti na awavyo kuku. Huwezi shindana na kikosi cha kimataifa mtani wewe pambana na wakina namungo fc ndio levo yako mtani. Simba ni levo ingine mjomba.