Yanga yashindwa kulipa pango

Yanga yashindwa kulipa pango

Wakimataifa1

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
326
Reaction score
100
tawi la yanga dodoma mjini wameshindwa kulipa pango la ofisi.
ofisi hiyo iliokuwa katika jengo la mapinduzi club majengo yanayomilikiwa na ccm maeneo ya bahi road.
wanachama wa yanga wamelalamikia uongozi uliopo madarakani toka ulivyochaguliwa miaka minne iliopita hawajaitisha mkutano zaidi ya ule wakutangaza kadi mpya wanaouza bank ya posta.
kipngozi aliochaguliwa kazi kupeleka maneno ya uwongo makao makuu yanga dar.kila wakimshauri aitishe mkutano anapiga chenga wanachama hapa wanasema hawana haja ya kulipia tena kadi
 
duh kumbe dodoma

Wana Yanga tuko vizuri sana kiuchumi, kama wenzetu huko Dodoma wamefulia waweke namba za M-PESA, tiGO-PESA, Airtel Money na Ezy Money siye tuwapige tafu ili wasiendelee kulidhalilisha jina 'Yanga'. Namba zote ziwe zimesajiliwa kwa jina la Young Africans SC Dodoma Branch ili kuepuka matapeli hasa mikia kujifanya ni Yanga kumbe wanataka kupiga mpunga tu.
 
Back
Top Bottom