Ile team maskini lakini jeuri yenye makazi yake kule dimbwini imeshusha kifaa yaani mtambo hatari na jana iliufanyia majaribio na kifaa hicho kikafunga goal lililotenganisha pande mbili yaani yanga na ruvu
kwa jina kinaitwa Ninja
Ni suala la muda tu. Huyo dogo anaweza.
Hakutakuwa cha Boko wala Okwi hapo. Ni buti kwa kwenda mbele tu.
Kuna wakati atasababisha penati lakini haitupi shida. Baadaye ata settle tu